CCM yatoa tamko kupanda kwa posho za vikao kwa wabunge

Yaani hawa pumbavu wanataka kutuaminisha kuwa wanaishi kwa kutegemea posho na si mishahara wanayolipwa
 
Naunga mkono hoja. Ila tu niwaambie waTZ wenzangu, wabunge wapo kwa ajili ya matumbo yao tu na si kwa ajili yetu. Naendelea kutoa wito tushirikiane kuikomboa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom