Mtalalamika sana ila ndio hivyo CCM inatesa kwa zamu ,safari hii inaipa kisago Chadema mtapiga makele mengi sana ila karibu NEC watapigilia msumari wa mwisho,
Je mtaweza kufanya maandamano nchi nzima ,maana mkianza kupatana kufanya hivyo basi mjue jamaa wanaagiza marungu kwa vikapu.

Mapango said:Wazee wetu walitwambia ukimuona mwenzio ananyolewa basi wewe tia maji. Wakati wazanzibari wanateseka na utawala wasioutaka wa CCM, watanganyika walikaa kimya na kushangiria huku wakisema CCM inashinda Zanzibar. Haya munayofanyiwa na CCM katika uchaguzi huu, ni somo ambalo NEC wamesoma kutoka ZEC, na hao usalama wa Taifa anaowalalamikia Dr. Slaa ndio hao hao wanaowaliza wazanzibari katika chaguzi zote ukiwemo na wa mwaka huu. Kama Watanganyika wangewasaidia wazanzibar kudai demokrasia ya kweli Zanzibar, yasingewakuta leo, mulikaa kimya na CCM wameona ladha ya wizi na hawawezi kuuacha. Lakini nawaaminia watanganyika kwani nyinyi sio mdebwedo, tusubiri matokeo tuone...
Poleni