Elections 2010 CCM yatoa mkong'oto kwa vyama vya upizani TANGANYIKA

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Mtalalamika sana ila ndio hivyo CCM inatesa kwa zamu ,safari hii inaipa kisago Chadema mtapiga makele mengi sana ila karibu NEC watapigilia msumari wa mwisho,
Je mtaweza kufanya maandamano nchi nzima ,maana mkianza kupatana kufanya hivyo basi mjue jamaa wanaagiza marungu kwa vikapu.
 
Kwahiyo umeielimisha nini jamii kwa hii thread yako? Usitupotezee muda.
 
Mtalalamika sana ila ndio hivyo CCM inatesa kwa zamu ,safari hii inaipa kisago Chadema mtapiga makele mengi sana ila karibu NEC watapigilia msumari wa mwisho,
Je mtaweza kufanya maandamano nchi nzima ,maana mkianza kupatana kufanya hivyo basi mjue jamaa wanaagiza marungu kwa vikapu.

Mheshimiwa hata kama wewe ni mkereketwa wa CCM elewa kuwa uwepo wa vyama vingi unaifanya serikali ya CCM iwajibike kwa raia wake zaidi ili isipokonywo dola
 
Mwiba,

..lakini ujue kwamba CUF haitaweza kushinda kiti za Uraisi Zenj mpaka kwanza wapinzani washinde huku Tanganyika.

..the exception ni ikiwa Zenj itajitoa ktk muungano. lakini hilo nalo ni gumu kwasababu Maalim keshasema hana mpango wa kuvunja muungano.
 
Wewe unaye ropoka kuwa ccm imetowa kisago kwa vyama vya upinzani, nafikiri akili yako si timamu!! Kwani kati ya upinzani na ccm ni nani aliyepoteza viti vyake vya ubunge alivyokuanavyo? CCM wamenyang'anywa viti na vingine wameving'ang'ania kwa kuiba na kutumia NEC kwa nguvu. Nadhani ungekuwa na akili na uwezo wa kutambua hapa mshindi ni vyama vya upinzani ambavyo vimeweza kumnyang'anya huyo fisadi wako viti!!.
 
Mtalalamika sana ila ndio hivyo CCM inatesa kwa zamu ,safari hii inaipa kisago Chadema mtapiga makele mengi sana ila karibu NEC watapigilia msumari wa mwisho,
Je mtaweza kufanya maandamano nchi nzima ,maana mkianza kupatana kufanya hivyo basi mjue jamaa wanaagiza marungu kwa vikapu.

Nyie si mmepigwa zenji? unashangilia nini? Si nilikwambia? Nilikwambia kafa hamuwezi kushinda kwenu huko. Watu laki nne mmeshindwa kupata kupata 50% na mnashangilia kupewa cheo ili mkubali kuzikubali sera za sisi m?! Hapo na nyie wapinzani? Kumbe mlikuwa mnamtafutia tu Maalimu cheo? mmeliwa!
 
Wazee wetu walitwambia ukimuona mwenzio ananyolewa basi wewe tia maji. Wakati wazanzibari wanateseka na utawala wasioutaka wa CCM, watanganyika walikaa kimya na kushangiria huku wakisema CCM inashinda Zanzibar. Haya munayofanyiwa na CCM katika uchaguzi huu, ni somo ambalo NEC wamesoma kutoka ZEC, na hao usalama wa Taifa anaowalalamikia Dr. Slaa ndio hao hao wanaowaliza wazanzibari katika chaguzi zote ukiwemo na wa mwaka huu. Kama Watanganyika wangewasaidia wazanzibar kudai demokrasia ya kweli Zanzibar, yasingewakuta leo, mulikaa kimya na CCM wameona ladha ya wizi na hawawezi kuuacha. Lakini nawaaminia watanganyika kwani nyinyi sio mdebwedo, tusubiri matokeo tuone...
Poleni!:cool:
 
Mtalalamika sana ila ndio hivyo CCM inatesa kwa zamu ,safari hii inaipa kisago Chadema mtapiga makele mengi sana ila karibu NEC watapigilia msumari wa mwisho,
Je mtaweza kufanya maandamano nchi nzima ,maana mkianza kupatana kufanya hivyo basi mjue jamaa wanaagiza marungu kwa vikapu.

Wewe ni bure kabisa. Varangati likianza unadhani wewe utakuwa mgeni wa nani?
Kumbuka, asiyejua kufa atazame kaburi, na mchochea mvua humunyea
 
Mapango said:
Wazee wetu walitwambia ukimuona mwenzio ananyolewa basi wewe tia maji. Wakati wazanzibari wanateseka na utawala wasioutaka wa CCM, watanganyika walikaa kimya na kushangiria huku wakisema CCM inashinda Zanzibar. Haya munayofanyiwa na CCM katika uchaguzi huu, ni somo ambalo NEC wamesoma kutoka ZEC, na hao usalama wa Taifa anaowalalamikia Dr. Slaa ndio hao hao wanaowaliza wazanzibari katika chaguzi zote ukiwemo na wa mwaka huu. Kama Watanganyika wangewasaidia wazanzibar kudai demokrasia ya kweli Zanzibar, yasingewakuta leo, mulikaa kimya na CCM wameona ladha ya wizi na hawawezi kuuacha. Lakini nawaaminia watanganyika kwani nyinyi sio mdebwedo, tusubiri matokeo tuone...
Poleni

Mapango,

..maneno yako yana ukweli ndani yake.

..lakini na nyinyi wa-Zenj mna tabia ya kutuzungumzia wa-Tanganyika huku mkionyesha chuki na dharau.

..mara nyingi mmeshindwa kutofautisha matendo ya CCM na wa-Tanganyika.

..wa-Tanganyika tulishaomba serikali yetu ya Tanganyika lakini hatukupata ushirikiano wa kutosha toka kwa wa-Zenj.

..labda matokeo ya uchaguzi huu yatawafanya CUF na Chadema kukubali kwamba ushirikiano baina yao utakuwa na manufaa kwa vyama vyote viwili.
 
Karibu sana mkuu naona umeingilia kwenye siasa. Poa tu ila siku nyingine bisha hodi!
 
mwiba maana hata hueleweki ni wale wale ambao hata kura hawakupiga na kama alipiga basi alimpigia Dovuti aliyetangaza amejitoa
 
Ukombozi hauji kwa siku moja tu, ipo siku tutaikomboa nchi yetu kwa utawala dhalimu wa CCM.
 
Huyu sio kosa lake..nimesomapost yake nikakumbuka wale waafrika waliokuwa wanaua waafriak wenzao kule afrika kusini kwa kushirikiana na wazungu..

shame upon your face..!1
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom