CCM yatoa maelekezo kwa Serikali kupitia upya tozo ya miamala ya simu

Wananchi tulmeziangalia hizo tozo tayari, na rumechukua hatua. CCM na Serikali yake wasihangaike na huo unafiki wao.
Tutatuma hela kwa mabasi na swala la kuhifadhi bado sijavunja lake kamtungi ka bibi
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan na mwenyekiti wa chama hicho kwa kuagiza kuangalia tozo za miamala ya simu kwani "amedhihirisha hekima, usikivu wake utendaji bora kwa kuguswa na changamoto za wananchi katika suala hili."

"Chama kinatoa maelekezo kwa Serikali kupitia upya tozo hii ya miamala ya simu. Pia, iandae utaratibu wa kupitia upya sera na sheria ya kodi na kuratibu ubunifu utakaoibua vyanzo vipya vya kodi ili kupunguza mzigo kwa wananchi" - Shaka Hamdu Shaka, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM
 

Attachments

  • 2850007_220078589_1690389091165713_5262137292318157038_n.mp4
    2.2 MB
Alimpongeza pia Rais tozo hizo zilipopitishwa.CCM ni kama makasuku ambayo hayana mbele wala nyuma.
 
Mkuu sikiliza wimbo wa hayati remi ongala walipewa madaraka wakayatumia vibaya tembo wanateketea serikali imeibwa ml moja uchunguzi ml4 sasa ndo hivyo ashibaye hajui njaa ya mwingine binafsi namkumbuka jpm
Shida yetu ni kwamba tunahisi kuwa serikali na wanasiasa watatatua matatizo na changamoto tulizo nazo. Shame
 
Nyie wasukuma gang na hao vibaraka wenu mtashindwa tu?wakati wa magufuli hata kwenda chooni mnaogopa pia kuviita vyombo vya habari vya nje kama CNN ni vya mabeberu,leo tumepewa uhuru wa kuandika,kukosoa n.k mnaleta ujanja eti Rais Samia Hafai.Huyu Mama anajua anachokifanya.Mtaona baada ya mwaka tu.Tena mkome kumsema Rais,Mbowe gaidi aachwe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom