Wangama guy
Senior Member
- Feb 16, 2012
- 191
- 27
Ni kweli mimi mwenyewe nilipita jirani sana na eneo la mkutano, nikashangaa. Mkutano ulikosa watu. Labda nadhani hawakujipanga kwenda vijijini kusomba wanavijiji kama ilivyo ada ili wahudhurie mkutano. Ilikuwa ni aibu kweli! Watu wa Mafinga hawana time na Magamba.