CCM yatia aibu Mafinga, mkutano wao wadoda

CCM yatia aibu Mafinga, mkutano wao wadoda

Kandindi

Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
19
Reaction score
4
Chama cha Mapinduzi leo hii kimepata aibu ya mwaka baada ya mkutano wao kukosa watu kabisa! Na walipoona hali mbaya kwa kukwepa aibu katibu wa CCM wilaya ya Mufindi bwana Jakobu mkomola,alikwenda shule ya msingi Mkombwe na kumwomba mwalimu mkuu kumpa watoto wa darasa la4 ili kuepusha aibu ya mwaka.

Fatilia picha na matukio hapochini.
 
Attachments

  • Image030.jpg
    Image030.jpg
    33.5 KB · Views: 869
  • Image028.jpg
    Image028.jpg
    10.7 KB · Views: 847
  • Image029.jpg
    Image029.jpg
    30.4 KB · Views: 813
  • Image027.jpg
    Image027.jpg
    33.9 KB · Views: 756
  • Image026.jpg
    Image026.jpg
    129.6 KB · Views: 748
Akili za kibavicha hizo unadhani uongo kama huu utampata mtu kajipange tena.
 
Chama chamapinduz leohi kimepata ahibu ya mwaka baada ya mkutano wao kukosawatu kabisa! Na walipo onahalimbaya kwakukwepa ahibu katibu wa ccm wilaya ya mufindi bwana Jakobu mkomola,alikwenda shule ya msingi mkombwe.na kumwomba mwalimu mkuu kumpa watoto wa darasa la4 ilikuepusha ahibu ya mwaka.fatilia picha na matukio hapochini.
Bavicha ni janga la taifa kwenye nchi hii.
 
Akili za kibavicha hizo unadhani uongo kama huu utampata mtu kajipange tena.

Mkubwa hebu tuwekee wewe picha ya kweli basi ili tuone kulivyokuwa na nyomi huko Mafinga basi. Badala ya kubisha 'hewani hewani tu'
 
haya kaka, picha nimeziona, inaonyesha zilipigwa wakati wanachama wanajipanga. Kama ni kweli basi ni vema wahusika kuongeza jitihada za kupata wanachama wapya.
 
Chama chamapinduz leohi kimepata ahibu ya mwaka baada ya mkutano wao kukosawatu kabisa! Na walipo onahalimbaya kwakukwepa ahibu katibu wa ccm wilaya ya mufindi bwana Jakobu mkomola,alikwenda shule ya msingi mkombwe.na kumwomba mwalimu mkuu kumpa watoto wa darasa la4 ilikuepusha ahibu ya mwaka.fatilia picha na matukio hapochini.
kweli akili ndogo ni taabu sana wewe na josephine mnapishana nini? kunguru
 
kwa sasa ccm inakubalika lumumba tu , ambako wamejaa vijana wanaotegemea posho ! CCM itakapokufa mwaka 2 kiduarisho 15 lazima watakufa kwa njaa .
 
haya kaka, picha nimeziona, inaonyesha zilipigwa wakati wanachama wanajipanga. Kama ni kweli basi ni vema wahusika kuongeza jitihada za kupata wanachama wapya.

lini tena ? Hiyo inaitwa bye bye
 
haya kaka, picha nimeziona, inaonyesha zilipigwa wakati wanachama wanajipanga. Kama ni kweli basi ni vema wahusika kuongeza jitihada za kupata wanachama wapya.

tehe tehe teheee, muulize katibu wako kilichomkuta hadi mkutano unaisha. Da deee.ek
 
Akili za kibavicha hizo unadhani uongo kama huu utampata mtu kajipange tena.

Mbona unalialia kifo chenyewe munachokufa na chama chako ni cha taraatibu maumivu kwa mbaliii lakini yenye mshindo mkuu wa kuelekea kaburini.
 
Back
Top Bottom