Wana jamvi ni ukweli usiopingika kwamba chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kitapoteza majimbo mengi kiliyoyapata 2010 kutokana na misuguano ndani y chama hiko ambayo inazidi kukibomoa chama hiko.
Ritz,mkiendelea na ubishi wa aina hiyo majimbo ya Mtwara utayakuta kwenye orodha hiyo yameongezwa.Nikufanya kazi kwa bidii na kuacha ufisadi pekee ndio tiba ya kuiponya CCM isipoteze viti.Ila haya ya kuwapa vyeo wauza pembe za ndovu Na mnajifanya Hamuoni wakati watu wanaona!haya
Wana jamvi ni ukweli usiopingika kwamba chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kitapoteza majimbo mengi kiliyoyapata 2010 kutokana na misuguano ndani y chama hiko ambayo inazidi kukibomoa chama hiko.
Kwa nini iwe majimbo na si kata?Misuguano ndiyo itakayopitisha CHADEMA katika TANURU la moto.Hoja yako haijasimama na hujatueleza ni kwa namna gani umefikia hitimisho hilo.Usijenge hoja nje ya mantiki
pro-chadema watakuwashia moto! haya! wakati wao wanadhani watapata urais wewe unawatabiria kupoteza majimbo? sasa hivi watakuambia wewe uko nyuma ya mgogoro unaofukuta ndani ya chama.ngoja waje!
Wana jamvi ni ukweli usiopingika kwamba chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kitapoteza majimbo mengi kiliyoyapata 2010 kutokana na misuguano ndani y chama hiko ambayo inazidi kukibomoa chama hiko.
Hongera kwa kujaribu, its a wishful thinking that will never happen, sor maana utakuwa disappointed
Itayapoteza kwa chama gani? CCM, kwa akili yako kuna msuguano CHADEMA wa kusababisha tupoteze majimbo! Acha kuwa mtumwa wa magagamba! U afikiri watanzania bado wajinga siyo!
Ritz jibu hoja kwanini hujaona hayo majimbo yako wazi haufanyi uchunguzi wewe usitoe majibu marahisi.
bila shaka hizi ni stori za kwenye kahawaWana jamvi ni ukweli usiopingika kwamba chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kitapoteza majimbo mengi kiliyoyapata 2010 kutokana na misuguano ndani y chama hiko ambayo inazidi kukibomoa chama hiko.
wanawaza kuzaa wakati uzazi hawana.... Ni zitto na mbowe ndio ambao watatea majimbo yao.
Hongera kwa kujaribu, its a wishful thinking that will never happen, sor maana utakuwa disappointed
bila shaka hizi ni stori za kwenye kahawa
Majanikv,
Hakuna hoja hapo ulichofanya umeweka hiyo orodha ambayo umeipenda.
Kumbuka Chadema majimbo kama ya Kawe, Ubungo, Nyamagana, Ilemela, Ukerewe, na mingineyo lazima watayapoteza.
Majanikv,
Hakuna hoja hapo ulichofanya umeweka hiyo orodha ambayo umeipenda.
Kumbuka Chadema majimbo kama ya Kawe, Ubungo, Nyamagana, Ilemela, Ukerewe, na mingineyo lazima watayapoteza.
CHADEMA kina uhakika wa kushinda zaidi ya majimbo 150 hapo 2015. Time will tell