Si kweli Mzee wa tanzaniteCuf kinastawi kwa kupitia mgongo wa kuwatenganisha wazanzibari,bila hivyo Cuf ingefutika huko visiwani.
Inategemea na zamu, Kwa sasa uzalendo ni kuvaa nguo za kijani,kusifu na kuabudu.Hivi uzalendo ni nni kwani ....na unaweza tambuaje huyu ni mzalendo na huyu si mzalendo ....
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe unamwabudu nani sasa hpoInategemea na zamu, Kwa sasa uzalendo ni kuvaa nguo za kijani,kusifu na kuabudu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzalendo ni mtu yeyote anayeamini Acacia watatununulia Noah kila mtu yakeHivi uzalendo ni nni kwani ....na unaweza tambuaje huyu ni mzalendo na huyu si mzalendo ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani yeye ni msajili wa vyama ?![]()
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Bashiru Ally amesema Tanzana inahitaji vyama vya siasa vitakavyozingatia uzalendo na kuwaunganisha wananchi wote.
Dk Ally ameyasema hayo katika ukumbi wa Shule ya Fidel Castro Pemba alipozungumza na viongozi wa CCM wa mikoa ya kisiwani Pemba.
Amesema vyama vinatakiwa kuweka mbele maslahi ya Taifa na si matakwa ya viongozi. Alisema misingi ya uzalendo ni muhimu kwani itawaunganisha wananchi na kurudisha dhana ya uzalendo kupenda nchi na wananchi wake.
“Tanzania inahitaji vyama vya siasa ambavyo vitaweka mbele uzalendo wa nchi kuunganisha wananchi na kuleta maendeleo,” amesema.
Kwa mfano, amesema uzalendo uliooneshwa na viongozi waasisi wa Taifa, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume unatakiwa kuigwa ukiwa ni urithi wa taifa letu.
“Wana CCM mnatakiwa kuiga mfano wa waasisi ambao waliweka mbele maslahi ya taifa kwa kujenga Tanzania ambayo leo imekuwa kimbilio la wengi ikiwemo wageni,” amesema.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Dk Abdalla Juma Mabodi amesema, kazi kubwa ya CCM Zanzibar sasa ni kuimarisha chama kwa kuingiza wanachama wengi ikiwemo vijana.
“Kazi kubwa tunayoifanya ni kuimarisha Chama Cha Mapinduzi kupitia Jumuiya zake na kuingiza wanachama wengi zaidi,” amesema.
Dk Bashiru yupo Pemba ikiwa ziara yake ya kwanza Zanzibar tangu alipoteuliwa kukiongoza chama hicho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wale kuku waisha tanga mayai yakawapasukia waokotaji yaan....bongo bwana ......makinikiaMzalendo ni mtu yeyote anayeamini Acacia watatununulia Noah kila mtu yake
Tatizo tunayofautina uelewa. Yawezekama wewe umemwelewa ila wengine hajasomeka kabisa......Labda tu unatafuta "cheap Likes"ila katibu kaeleweka vizuri tu.
Mmmmh.....jimbomboHivi vyama vya upinzani na haswa Cuf na Chadema malengo yao si kuunganisha Watanzania viko kinyume nimejaribu kusoma katiba na ilani ya chama cha UDP kimekaa vizuri na kinaweza kuwa chama kikuu siku za usoni.
Jenga hoja kijana penda taifa lako.
Nahisi bora hata Bashiru kwa mbaaali namsoma....wewe naona umenipoteza kabisaaaaCuf kinastawi kwa kupitia mgongo wa kuwatenganisha wazanzibari,bila hivyo Cuf ingefutika huko visiwani.