ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
ww,w,nan,mmndugu mama yangu hawezi kusikitika kuzaa mtoto msomi anayemjali mm ndg yng now nafanya phd ya political science with international laws sasa mm n ww sijui nan mkaz w mirembe mm nimechagua chama chenye viongoz makini mwenyekiti phd makamu phd wew sasa ww umechagua chama kiongoz wake form failure wapambe wake bavicha kina lema na wengne nan mkaz w mirembe?
Ni wendawazimu tu watakao shangilia ushindi wa ccm tena mkoa wa Pwani. Sasa uchaguzi umeisha nenda katembelee vijijini hasa wilaya ya Bagamoyo ambako chalinze iliko ujionee hali ya maisha ya watu. Unashangilia kushinda wameshinda nini?
Ngoja sasa tuone hizo ahadi zilizomwagwa na hasa ununuzi wa matrekta kila kijiji. AMA KWELI WAJINGA NDIO WALIWAO
Unacheua ubwabwa wa jana. Mnauza utu kwa ubwabwa, t shirt, kofia na kanga. Kesho uliyemchagua yuko kwenye gari tinted hataki kuonekana. Iko siku mtajutia umbumbumbu wenu.
bila zito chadema itafutika kabisa
imekuwa ni furaha kubwa kwa wana ccm pande zote za tz kwa kuwabwaga chadema vibaya bila kuwaonea huruma even if walianza kutapatapa kwa kusema hawakutaka kushinda nia ilikua ni kukitangaza chama pwani shiiiiiiiiiiiit!!!!!!!!!
unafunga banda farasi kashatoka? ni kichapo tu mwaka huu mtamkumbuka zitto mwaka huu
ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!
Kila chama kina ngome zake! Mtaji wenu ni mazezeta wenzenu.....!