CCM yashinda ushindi wa kishindo chalinze

Li chama la walalahoi na mbumbumbu wakupewa chumvi na kilo ya sukari! Wasomi wote na wajanja wa mjini hawashoboki na magamba! Good news is mtaji wenu soon utaisha kizazi kinachokuja hakidanganyiki your days are numbered!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwanini uswahilini CCM inakubalika ?

Vile vile maeneo hayo mara zote hakuna maendeleo.

au sera ya watu wa Pwani ni '' Vote for ubwabwa ''
 
We kama sio mchawi bas n mkaaanga sumu,ukerewe machemli amefanya nn?ubungo je?kawe?iringa na mbeya kunanini?Moshi na Arumeru kunanini?we omboleza tu acha michepuko Chadema baki njia kuu CCm

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Eti wanajamvini matusi ruksaa eeeh.ngoja na mimi nitukane "naniu zenu... Desh desh wakubwa nyie". Zitto waonee huruma chadema maana hata mungu huwa anasamehe zitto eeeeeh
 
Hivyo vibibi na vibabu visivyofikiri vitakufa kwa jinsi maisha yanavyozidi kuwa magumu then chama cha mabang kitaisoma namba.
 
Bado natafuta jibu la "kwanini CCM inapendwa sehemu zenye umasikini wa kutupwa na kule kwenye elimu duni?" ............ will be ryt back!
 
Li chama la walalahoi na mbumbumbu wakupewa chumvi na kilo ya sukari! Wasomi wote na wajanja wa mjini hawashoboki na magamba! Good news is mtaji wenu soon utaisha kizazi kinachokuja hakidanganyiki your days are numbered!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kamanda Lia taratibu wasijesikia majirani maskini poleni sana, haya masisiemu mashetani kabisa, teh teh teh inaumaa eeh vumilia lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…