CCM yashinda Umeya Kigamboni

Chadema chali tena
Wakati mwingine ficha ujinga wako mbele za wengine. Ccm walikuwa wajumbe 9 na ukawa 5 nipe kigezo cha ccm kushindwa au ni kwanini ukawa hawakushinda? Hesabu ndogo hizo zinakutesa na unakuja kifua mbele kujisifu na kusifia ujinga.
 
alululululuuuuu aiaiaiiiiiiiii yaani nirahatupu hahahaaaaaaaa....ooh sorry nlijua ukawa ndo wameshinda!! Kumbe ... kiruuu tutashaa
 
Kukamata watu na kuwafungulia kesi za kubambika.
# free our max
 
JF hamuitaki hizi taarifa unamletea nani humu sasa zipeleke kwenye mitandao mnayoitaka
 
Kwani mlikuwa mnashindana na nani wakati CCM mko 9 na UKAWA 5 , ingekuwa maajabu kama UKAWA wangeshinda ndio ingekuwa habari lakini CCM kushinda ilikuwa Obvious .....Acha ushamba .....
Sasa mbona zile ambazo ukawa wanakuwaga wengi na ni obvious mnashinda huwa mnaimba mtaa mzima na kupita na kosta za wadada na madera wakidansisha makalio yao madirishani?? Hapa huwa mmeshindana ma nani??
 
Lizaboni wewe ni mtu wa hovyo sana wewe. NI WA HOVYOHOVYO TU.
 
Watu wanangalia chama badala ya uwezo.huyo diwani wa Ukawa ndio think tank ya halmashauri,kuanzia kwa mkurugenzi mpaka madiwani,halafu wamempiga chini
Alipigwa chini engineer mnyaa cuf. Usiangalie upande mmoja
 
Hivi pale Tanga Jiji uchaguzi wa Meya umerudiwa au mambo ni mbele kwa mbele ?
 
Nilikuwepo Kigamboni, nilichangia ushindi.. CCM hongera..!!
 
Hamkupeleka mawaziri na wabunge wa Zanzibar kuwapigia kura kwa nini? Mbona mmeshinda kwa kura ndogo Sanaa.
 
Big up
 
[HASHTAG]#justiceforLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenakiwahai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeMaxeceMelo[/HASHTAG]
 
[HASHTAG]#MagufuliNiHatariKulikoZIKA[/HASHTAG]
 
Narrow and black mind bana huwa,mnajidhalilisha sana maana mnakuwa na hoja goigoi sana.
Hadi bungeni ndiyo hivi hivi hadi Makamu wa Rais anawaomba mjitahidi kuwa na hoja nzito..
Sasa wewe Liz unasema ccm wameshinda Umeya Kigamboni utadhani palikuwa na mchuano mkali and numbers tells the result au ni maajabu kwenu kwasababu mmezoea Goli la mkono?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…