hugochavez
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,907
- 1,009
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda kiti cha Ubunge katika jimbo la Singida Kaskazini Mkoa wa Singida baada ya mgombea wake, Monko Justine kupata kura 20857 na kuwazidi wagombea wengine 4, aliyemfuatia ni Mgombea wa CUF mwenye kura 974
Pia CCM imeshinda kiti cha Ubunge katika jimbo la Songea Mjini Mkoa wa Ruvuma baada ya mgombea wake, Dr Damas Ndumbaro kupata kura 45762 na kuwazidi wagombea wengine 7, aliyemfuatia ni Mgombea wa CUF mwenye kura 608.