Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,408
- 25,932
Tufanye kimya kimya wananchi wasijue kinachoendelea. Wewe acha kutumika na wapinzani bwana.
Tufanye kimya kimya wananchi wasijue kinachoendelea. Wewe acha kutumika na wapinzani bwana.
Ukweli siku zote unaponya.Leo hii GENTAMYCINE (Mwana CCM nisiyejificha) nikisema tu 'Ukweli' unaowauma mnasema natumika na Wapinzani je, pale pia ambapo huwa 'nawasema' tena kwa 'Kuwasiliba' kabisa Wapinzani hapa hapa Jamvini (JamiiForums) pia huwa ninakuwa 'ninatumika' na CCM yako/ yangu? Tena nadhani wana CCM badala ya 'Kunichukia' mngekuwa ndiyo mnanisikiliza na 'kuyapokea' haya kwani kusema Kwangu 'Ukweli' ninawapenda.
Sugu na Pro.JeiSijawahi kusikia chadema wamechukua wasaniii
Mambo hayo yetu sisi wana ccm
Mtaipigia kuraCCM ikifuatilia kwa karibu chanzo cha ajali, itabadilisha nini?