CCM yapokea kwa mshtuko taarifa ya ajali mbaya ya Wasanii Belle 9 na Bonge la Nyau, yawatakia uponyaji wa haraka!

Tufanye kimya kimya wananchi wasijue kinachoendelea. Wewe acha kutumika na wapinzani bwana.
 
Mkuu umesema kweli lakini ukisema ukweli utaambiwa mambo mengi kama sio mzalendo nakadhalika.

Ila ukweli ni jambo zuri hata kama itikadi yako ipo chama fulani.
 
Tufanye kimya kimya wananchi wasijue kinachoendelea. Wewe acha kutumika na wapinzani bwana.

Leo hii GENTAMYCINE (Mwana CCM nisiyejificha) nikisema tu 'Ukweli' unaowauma mnasema natumika na Wapinzani je, pale pia ambapo huwa 'nawasema' tena kwa 'Kuwasiliba' kabisa Wapinzani hapa hapa Jamvini (JamiiForums) pia huwa ninakuwa 'ninatumika' na CCM yako/ yangu? Tena nadhani wana CCM badala ya 'Kunichukia' mngekuwa ndiyo mnanisikiliza na 'kuyapokea' haya kwani kusema Kwangu 'Ukweli' ninawapenda.
 
Ukweli siku zote unaponya.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom