leta taarifa rasmi...maana CAG kamaliza kazi yake...labda una iliyo rasmi ili tusiamini huu unaouita 'uzushi'..!!!Huu ni uzushi mtupu. Upuuzwe
Hilo lipo wazi mkuu, utashangaa watu wanajiuliza kwanini hatuendelei pamoja na kuwa na rasilimali nyingi, viongozi wetu ndo hao!Mtoa maada, ametoa taarifa tena kwa vifungu wewe unaleta matusi!!! Hii inadhihirisha kuwa wana ccm wengi kama wewe weupe kichwani
Baada ya kushindwa hoja Umeona udhihirishe mapungufu yakoshika adabu yako wewe nyumbu. weka taarifa ya chadomo kwanza tuone. wapi wamesema wizi kama sio tofauti tu ya mahesabu.
Sababu mojawapo ya kuandaa mahesabu yaliyokaguliwa (audited financial statements) ni kuweza kulinganisha kati ya taasisi moja na nyingine na pia kutoka kipindi kimoja mpaka kingine katika taasisi hiyohiyo. Siipendi CCM, lakini kwenye hili la mahesabu najua vizuri tu hakuna chama chenye nafuu. Na kwa hakika shida sio vyama kama taasisi bali ni watu......maadili, weledi vinapungua sana!Ndugu yangu miye naona HOJA ni matumizi mabaya ya fedha ya Chama cha Mapinduzi. Kudai nguvu ya hoja itoke kwenye hesabu za fedha za vyama vyote ni kukengeuka..
..Nimekuelewa ndugu yangu...Hapo nakuunga mkono. CAG alete hesabu za Vyama vingine vyote (hasa vile vinavyochukua RUZUKU ya Serikali)..Kazi mojawapo ya kuandaa mahesabu yaliyokaguliwa (audited financial statements) ni kuweza kulinganisha kati ya taasisi moja na nyingine na pia kutoka kipindi kimoja mpaka kingine katika taasisi hiyohiyo. Siipendi CCM, lakini kwenye hili la mahesabu najua vizuri tu hakuna chama chenye nafuu. Na kwa hakika shida sio vyama kama taasisi bali ni watu......maadili, weledi vinapungua sana!
sasa huu ni mzaha, jengo la ccm mkoa wa mwanza lina thamani ya zaidi ya bil 200, lile jengo jipya la kitega uchumi pale masaki je? uwanja wa ccm kiruma? ofisi ndogo ya lumumba? jengo la vijana makao makuu? usijekuta akina lowasa walishakopea bank.CCM HOI YAPATA HATI YENYE SHAKA
CCM kiliripoti mali za kudumu kwenye Taarifa za fedha zenye thamani ya sh. 36,869,775,776. Hata hivyo hakikuwa na daftari la mali za kudumu. Hivyo, kushindwa kuthibitisha ukamilifu wa taarifa za mali za kudumu (Revaluation). Hata hivyo, mali za kudumu kwenye Taarifa za fedha zenye thamani ya sh. 36,869,775,776 hazikuwa sahihi
Chama hakikutenganisha thamani ya ardhi na thamani ya majengo kama viwango vya kimataifa vya kihasibu vinavotaka (aya 58 of IAS 16). Hivyo, thamani ya majengo ya kiasi cha sh.9, 809,498,407 yalijumuishwa na thamani ya ardhi ambayo inapanda thamani wakati majengo yanashuka thamani.
Kukosekana kwa taarifa za fedha kuhusu uwekezaji wa chama kwenye makampuni mbalimbali; hivyo, kushindwa kujiridhisha na uwekezaji wenye thamani ya sh. 10,879,571,868 uliyowasilishwa kwenye taarifa za fedha.
Katika Taarifa ya matumizi, kulibainika kiasi cha sh. 32,863,793,631 kilipelekwa kwenye taasisi zilizo chini ya chama, lakini Taarifa za matumizi katika taasisi hizi hazikuweza kupatikna ili kuweza kujiridhisha na matumizi haya.
Matumizi yenye thamani ya sh. 82,400,000 yalikuwa na nyaraka pungufu, hivyo kushindwa kuthibitisha uhalali wake.
Madai yenye thamani ya sh. 137,582,752 kutoka CCM kinondoni hayakuingizwa kwenye Taarifa za fedha, hivyo kusababisha upungufu wa sh. 137,582,752 kwenye Taarifa za fedha.
Chanzo: Ripoti Kuu ya Mwaka ya Mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serkali (CAG) kwa 2015/2016
MY TAKE: Nilitegemea chama kikongwe kama hiki kiwe mfano wa matumizi mazuri ya fedha, kumbe ndiyo kinara wa ubadhirifu wa fedha na mali za chama. Kwa hali hii, wanachama wataendelea kushabikia ccm bila kujua kuwa fedha zao zinatafunwa kwa fujo! CCM kuweni na huruma mmeiba vya kutosha.
UFISADI CCM NDIO NYUMBANI KWAO
Hitimisho:
"Hivyo basi ccm ni majizi na ni taasisi inayomilikiwa na mafisadi, wafoji vyeti na imejaa mamburula"
Lowasa tusimsingizie bure wakati ukaguzi ni 2015/2016sasa huu ni mzaha, jengo la ccm mkoa wa mwanza lina thamani ya zaidi ya bil 200, lile jengo jipya la kitega uchumi pale masaki je? uwanja wa ccm kiruma? ofisi ndogo ya lumumba? jengo la vijana makao makuu? usijekuta akina lowasa walishakopea bank.
Mamburula tanzania ni hawa wafuatao....mbowe, msigwa, lema, sugu na mnyika. Hawa wote kwny saccos ya mzee mtei iitwayo chagadema.
Muda si mrefu Uvccm watakuja kukanusha muda utaongea.
shika adabu yako wewe nyumbu. weka taarifa ya chadomo kwanza tuone. wapi wamesema wizi kama sio tofauti tu ya mahesabu.
Inaelekea Una pepo mbaya sana Ndio Leo unang'amua ni chama cha wapigaji?Nahama CCM sisi tunahangaika huku kuinadi CCM kumbe wanapiga dili tuu
Nyani haoni kundule. Labda hapa unamsemea Paul Chritian Makonda Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam aliyehitimu kidato cha nne Pamba sec school kwa kupata daraja SIFURI 'O' (Daudi Albert Bashite) mwanachama wa ccmchagadema iko juu kwa kuongozwa na wacheza sinema. Wachekeshaji na ma zero
CCM HOI YAPATA HATI YENYE SHAKA
CCM kiliripoti mali za kudumu kwenye Taarifa za fedha zenye thamani ya sh. 36,869,775,776. Hata hivyo hakikuwa na daftari la mali za kudumu. Hivyo, kushindwa kuthibitisha ukamilifu wa taarifa za mali za kudumu (Revaluation). Hata hivyo, mali za kudumu kwenye Taarifa za fedha zenye thamani ya sh. 36,869,775,776 hazikuwa sahihi
Chama hakikutenganisha thamani ya ardhi na thamani ya majengo kama viwango vya kimataifa vya kihasibu vinavotaka (aya 58 of IAS 16). Hivyo, thamani ya majengo ya kiasi cha sh.9, 809,498,407 yalijumuishwa na thamani ya ardhi ambayo inapanda thamani wakati majengo yanashuka thamani.
Kukosekana kwa taarifa za fedha kuhusu uwekezaji wa chama kwenye makampuni mbalimbali; hivyo, kushindwa kujiridhisha na uwekezaji wenye thamani ya sh. 10,879,571,868 uliyowasilishwa kwenye taarifa za fedha.
Katika Taarifa ya matumizi, kulibainika kiasi cha sh. 32,863,793,631 kilipelekwa kwenye taasisi zilizo chini ya chama, lakini Taarifa za matumizi katika taasisi hizi hazikuweza kupatikna ili kuweza kujiridhisha na matumizi haya.
Matumizi yenye thamani ya sh. 82,400,000 yalikuwa na nyaraka pungufu, hivyo kushindwa kuthibitisha uhalali wake.
Madai yenye thamani ya sh. 137,582,752 kutoka CCM kinondoni hayakuingizwa kwenye Taarifa za fedha, hivyo kusababisha upungufu wa sh. 137,582,752 kwenye Taarifa za fedha.
Chanzo: Ripoti Kuu ya Mwaka ya Mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serkali (CAG) kwa 2015/2016
MY TAKE: Nilitegemea chama kikongwe kama hiki kiwe mfano wa matumizi mazuri ya fedha, kumbe ndiyo kinara wa ubadhirifu wa fedha na mali za chama. Kwa hali hii, wanachama wataendelea kushabikia ccm bila kujua kuwa fedha zao zinatafunwa kwa fujo! CCM kuweni na huruma mmeiba vya kutosha.
UFISADI CCM NDIO NYUMBANI KWAO
Hitimisho:
"Hivyo basi ccm ni majizi na ni taasisi inayomilikiwa na mafisadi, wafoji vyeti na imejaa mamburula"
CCM HOI YAPATA HATI YENYE SHAKA
CCM kiliripoti mali za kudumu kwenye Taarifa za fedha zenye thamani ya sh. 36,869,775,776. Hata hivyo hakikuwa na daftari la mali za kudumu. Hivyo, kushindwa kuthibitisha ukamilifu wa taarifa za mali za kudumu (Revaluation). Hata hivyo, mali za kudumu kwenye Taarifa za fedha zenye thamani ya sh. 36,869,775,776 hazikuwa sahihi
Chama hakikutenganisha thamani ya ardhi na thamani ya majengo kama viwango vya kimataifa vya kihasibu vinavotaka (aya 58 of IAS 16). Hivyo, thamani ya majengo ya kiasi cha sh.9, 809,498,407 yalijumuishwa na thamani ya ardhi ambayo inapanda thamani wakati majengo yanashuka thamani.
Kukosekana kwa taarifa za fedha kuhusu uwekezaji wa chama kwenye makampuni mbalimbali; hivyo, kushindwa kujiridhisha na uwekezaji wenye thamani ya sh. 10,879,571,868 uliyowasilishwa kwenye taarifa za fedha.
Katika Taarifa ya matumizi, kulibainika kiasi cha sh. 32,863,793,631 kilipelekwa kwenye taasisi zilizo chini ya chama, lakini Taarifa za matumizi katika taasisi hizi hazikuweza kupatikna ili kuweza kujiridhisha na matumizi haya.
Matumizi yenye thamani ya sh. 82,400,000 yalikuwa na nyaraka pungufu, hivyo kushindwa kuthibitisha uhalali wake.
Madai yenye thamani ya sh. 137,582,752 kutoka CCM kinondoni hayakuingizwa kwenye Taarifa za fedha, hivyo kusababisha upungufu wa sh. 137,582,752 kwenye Taarifa za fedha.
Chanzo: Ripoti Kuu ya Mwaka ya Mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serkali (CAG) kwa 2015/2016
MY TAKE: Nilitegemea chama kikongwe kama hiki kiwe mfano wa matumizi mazuri ya fedha, kumbe ndiyo kinara wa ubadhirifu wa fedha na mali za chama. Kwa hali hii, wanachama wataendelea kushabikia ccm bila kujua kuwa fedha zao zinatafunwa kwa fujo! CCM kuweni na huruma mmeiba vya kutosha.
UFISADI CCM NDIO NYUMBANI KWAO
Hitimisho:
"Hivyo basi ccm ni majizi na ni taasisi inayomilikiwa na mafisadi, wafoji vyeti na imejaa mamburula"
CCM HOI YAPATA HATI YENYE SHAKA
CCM kiliripoti mali za kudumu kwenye Taarifa za fedha zenye thamani ya sh. 36,869,775,776. Hata hivyo hakikuwa na daftari la mali za kudumu. Hivyo, kushindwa kuthibitisha ukamilifu wa taarifa za mali za kudumu (Revaluation). Hata hivyo, mali za kudumu kwenye Taarifa za fedha zenye thamani ya sh. 36,869,775,776 hazikuwa sahihi
Chama hakikutenganisha thamani ya ardhi na thamani ya majengo kama viwango vya kimataifa vya kihasibu vinavotaka (aya 58 of IAS 16). Hivyo, thamani ya majengo ya kiasi cha sh.9, 809,498,407 yalijumuishwa na thamani ya ardhi ambayo inapanda thamani wakati majengo yanashuka thamani.
Kukosekana kwa taarifa za fedha kuhusu uwekezaji wa chama kwenye makampuni mbalimbali; hivyo, kushindwa kujiridhisha na uwekezaji wenye thamani ya sh. 10,879,571,868 uliyowasilishwa kwenye taarifa za fedha.
Katika Taarifa ya matumizi, kulibainika kiasi cha sh. 32,863,793,631 kilipelekwa kwenye taasisi zilizo chini ya chama, lakini Taarifa za matumizi katika taasisi hizi hazikuweza kupatikna ili kuweza kujiridhisha na matumizi haya.
Matumizi yenye thamani ya sh. 82,400,000 yalikuwa na nyaraka pungufu, hivyo kushindwa kuthibitisha uhalali wake.
Madai yenye thamani ya sh. 137,582,752 kutoka CCM kinondoni hayakuingizwa kwenye Taarifa za fedha, hivyo kusababisha upungufu wa sh. 137,582,752 kwenye Taarifa za fedha.
Chanzo: Ripoti Kuu ya Mwaka ya Mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serkali (CAG) kwa 2015/2016
MY TAKE: Nilitegemea chama kikongwe kama hiki kiwe mfano wa matumizi mazuri ya fedha, kumbe ndiyo kinara wa ubadhirifu wa fedha na mali za chama. Kwa hali hii, wanachama wataendelea kushabikia ccm bila kujua kuwa fedha zao zinatafunwa kwa fujo! CCM kuweni na huruma mmeiba vya kutosha.
UFISADI CCM NDIO NYUMBANI KWAO
Hitimisho:
"Hivyo basi ccm ni majizi na ni taasisi inayomilikiwa na mafisadi, wafoji vyeti na imejaa mamburula"
CCM ni chama hatariHuwezi kuitenga ccm na wizi, ufisadi, ulaghai, dhurma, umaskini na uharibifu wote unafanyika hapa Tanzania, ukabaki kuwa mzalendo.
Leo ndio unajua,pole.Unakumbuka shuka wakati kumekucha.Nahama CCM sisi tunahangaika huku kuinadi CCM kumbe wanapiga dili tuu