CCM yamzidi Kete Warioba!

CCM yamzidi Kete Warioba!

Kuna nchi nyingi tu za kiarabu ambao wanafuata mfumo wa kuongoza nchi wa kimagharibi wewe kwa akili yako unadhani ni mfumo kristu. Mnapenda vitu vya bure, chuo mlipewa lakini hadi leo hakitanuki hakina hata matawi angalieni wenzenu dini za kikristu vyuo vyao vinavyokuwa na kwa kutoa elimu bora. Chuo chenu mmekiwekea mazingira na sheria kiasi kwamba hata waislam wa kawaida hawataki kwenda kusoma kwenye hicho chuo.

Hebu taja hizo nchi za kiislamu unazo ziongelea tukujuve vizuri. Naona unadandia guta kwa mbele!
 
Maoni yoyote yalitegemea mambo haya;

Idadi ya waliyoyatoa;
Sababu za kuyatoa maoni hayo;
Faida na hasara za maoni hayo;

Niseme wazi nami, nilipinga kabisa mahakama ya kadhi. Anayesema kuna mfumo kristo hana uthibitisho, kama upo uletwe. Hatutafanya jambo simply kwakuwa wengine wanafanya.
Hatutachangia mahakama ya dini yoyote kupitia kodi.
Kama kweli Waislam wanahitaji, waanzishe wenyewe kwa gharama zao na namna yao.
Tume ilifanya mema na iliundwa na waislam pia. Bunge la katiba linafanya uhuni mwingi na uchakachuaji. Kama kuna jema katika bunge hilo basi ni kwaajili ya manufaa ya ccm

Mkuu mleta mada amesema kuwa mahakama ya kadhi ikiwa ktk katiba itakuwa imepewa nguvu ya kisheria ya kutoingiliwa na mahakama za kawaida ktk maamuzi yake kwa mujibu wa imani yao, hajasema km alichangia khs gharama za uendeshaji wa hiyo mahakam ya kadhi.
 
Kuna ukweli mmoja mchungu ambao ni contrary na mafundisho ya dini zetu ambao tupende,tusipende,hatuna njia ya kuukataa.Kwamba hata tuwe na mapenzi gani kwa dini zetu,kuna wakati UTANZANIA utasimama mbele kabla ya dini hizi,na tutalazimika kuikubali hali hiyo,na hatutakuwa na jinsi ya kukwepa hali hiyo.Sometimes huwa najiuliza sana,kwa nini nisingelizaliwa katika taifa ambalo wote tu wakristo,niondokane na lawama hizi?!baadae nakumbuka kuwa Mungu huyo huyo ndiye amenipa utanzania,so,ndio huyo amenipa watu tofauti na imani yangu kuishi nao.Allah,amekupa utanzania akijua utanzania si uislam.Think about that.
 
Uelewa ukiwa mdogo ni madhara makubwa.

Hospitali za makanisa na misikiti zote zinawahudumia wananchi wote, hata shule na vyuo huwahudumia wote bila ubaguzi (isipokuwa seminari na hizi hazipati hela ya serikali). Ila mahakama ya Kadhi ni ya Waislam tu, wengine haituhusu kabisa wala hatutakubali ianzishwe hapa. Anzisheni mkitaka kwa gharama na utaratibu wenu.
Kama mna watu wamekosa ajira serikalini mnawaanzishia kwa style ya wao kupata kazi sahau.

Faida zake ni zipi? Mbona hamzisemi?

Hospital za kanisa na shule zao ambazo zilikuwa zinapata ruzuku na misamaha ya kodi ndizot ambazo zinaongoza kwa kutoza gharama kubwa km hospital binafsi ambazo zinalipa kodi, hapa utasema usawa upo kweli? Maana tunategemea upatapo msamaha wa kodi na ww pia ni taasisi ya kidini bas malipo yake yatakuwa madogo kwa maana ya kiimani zaidi. Sasa gharama zenu zinapokuwa sawa na hospital binafsi maana yake mpo kibiashara mkuu......!?!?9
 
IN THE MATTER OF THE KADHIS’ COURT, OTHER COURTS
AND
IN THE MATTER OF CONSTITUTIONAL REVIEW
AND
IN THE MATTER OF ENFORCEMENT OF FUNDAMENTAL RIGHTS
AND FREEDOMS OF THE INDIVIDUAL UNDER SECTIONS OF THE CONSTITUTION OF TANZANIA

The Grounds of the Summons and Supporting Affidavits:

A. Tanzania is a multi-religious and multi-cultural state and the Constitution defends this position;
B. The separation of the state and religion must be respected and promoted but allowing Kadhi Courts in Tanzania's Constitution will contradicts this cardinal principle;
C. There is no valid basis whatsoever for the inclusion of the Kadhis' Courts in the Constitution;
D. The entire process of the Constitutional Review has been skewed, biased against Christians and other Tanzanians and bereft of any iota of Constitutionalism;

1. Who appoints Chief Kadhi and Kadhis?
2. What are the qualification for appointment to the office of a Kadhi (including a Chief Kadhi)?
3. Since the Kadhis are not trained lawyers who understand the Evidence Act and the Civil Procedure Act, how and/or what will they use to administer their Courts?
4. Muslims are mainly of two sects in Tanzania - the Sunni and Shia. Majority of the Muslims in Tanzania are Sunni Muslims but there is a significant population of Shia Muslims too and consideration ought to be given to the appointment of Kadhis of the Shia Sect to cater the interest of the Shia Muslims. Will they have two different Courts? For Sunni and Shia?
5. How will Muslim Women be protected since: Muslim law regards women as less than men in matters of both marriage and divorce, as well as devolution of property: Holy Quran Surah 2:228-232, and Surah 65:1-7 (only a man may divorce his wife even if he is required to provide for her); a man may beat his wife, even if lightly, the evidence of two women, is equal to evidence of one man (Surah 2:282). The application of such beliefs of faith are contrary to the Constitution.

Islamic "Kadhi" courtsis illegal and discriminatory. The Kadhi court system will elevates Islam over the country's other religions, and should be deemed unconstitutional because it does not coincide with Tanzania's secular mandate and should not be included in the nation's new constitution.

MY CONCERNS
(a) There is no valid basis whatsoever for the inclusion of the Kadhis' Courts in the Constitution;
(b) If Muslims alone get preferential treatment for setting religious Courts, then other communities and faiths would come forward to have separate courts
(c) Provision such as Kadhis' Courts is normally covered under the general law. It should not be part of the main body of the Constitution,
(d) Due to different school of interpretation of the Holy Koran and Hadith which figh will the Kadhis' Courts follow? Will there be Kadhis' Court as per separate jurisdiction of Shias and Sunis? What would be the views of Ismaili or Bohra Communities on the issue?
(e) Even in Pakistan, no universal Islamic courts could be established due to confusion and conflicts between the figh Jaferia of Shias and the figh of Sunis
(f) Several sects of Muslims community do not follow Kadhis' Courts but have their own jurisprudence.
(g) The awards of the Kadhis' Courts are based on the sole discretion of the Kadhi. What view do the Muslim Women have on this system? Do the majority of the Muslim Women concerned get a fair trial in Kadhis' Courts? Are they convinced that their welfare and fundamental rights are protected at the hearings?

MY RECOMMENDATIONS
(1) All people should be given options to go to independent or higher courts. The High Court and Court of Appeal should be above religious courts, if such courts are part of the Constitutional provision either directly or indirectly;
(2) There should be an open door policy to change the laws which cannot be challenged,
(3) Courts should be authorized to employ scholars who would enlighten judges on the interpretation of religious doctrines;
(4) The draft recommends setting up Village Councils to deal with minor problems in rural areas, which can take care of local religious sentiments to protect national unity and religious harmony. Expand the role of Village Councils to deal with social disputes;

Respectfully submitted,

August 24, 2014

Isome uelewe, niliipata humu
 
Kuna ukweli mmoja mchungu ambao ni contrary na mafundisho ya dini zetu ambao tupende,tusipende,hatuna njia ya kuukataa.Kwamba hata tuwe na mapenzi gani kwa dini zetu,kuna wakati UTANZANIA utasimama mbele kabla ya dini hizi,na tutalazimika kuikubali hali hiyo,na hatutakuwa na jinsi ya kukwepa hali hiyo.Sometimes huwa najiuliza sana,kwa nini nisingelizaliwa katika taifa ambalo wote tu wakristo,niondokane na lawama hizi?!baadae nakumbuka kuwa Mungu huyo huyo ndiye amenipa utanzania,so,ndio huyo amenipa watu tofauti na imani yangu kuishi nao.Allah,amekupa utanzania akijua utanzania si uislam.Think about that.

Tulidai uhuru mkiwa humu humu, wala hilo halikutusumbua. Na tukawaita na Wakristo wenzenu John Rupia na Julius Nyerere kwania njema kabisa, kwani kua mkristo sio kosa, bali kufa mkristo ni matatizo kwa Muumba wako.

Mimi binafsi siwachukii wakristo, nawependa sana, nafanya nao kazi, naishi nao jirani, kuna familia nyingi za kiislamu zimechanganyikana na wakristo na wasiokua na dini. Hapo hamna tatizo. Huenda Mkristo wa leo akawa Muislamu bora kuliko baadhi ya sisi Waislamu tuliozaliwa katika Uislamu. Mifano ipo Mingi sana. Mchungaji Ruben (kessy), Mazinge, Mwaipopo, Padre Mwamasika, Iman Petro nawengineo.

Kua mkristo sio shidaa, imani ni maamuzi ya mtu, Shidaa ni Kumzuia Mtu mwengine kutekeleza imani yake. Hebu niambie kuna kitu chochote katika imani ya Kikristo ambacho Waislamu tulishawahi kukipinga?. Kwanini sisi tunaweza kuwavumilia lakini nyinyi hamuwezi kutuvumilia sisi.

Kuna wakati hapa kulikua kunaimbwa nyimbo ya Msichanganye Dini na Siasa. Sisi kama Waislamu hatukua na shida na hilo. Tukajitoa. Kumbe wenzetu you had one ace up your sleeve. Leo bunge limejaa Wachungaji, Mapadre na Maaskofu.
Ushakia Sheikh, Ustadhi au Mufti yoyote ndani ya Bunge la Jamuhuri?.

Kwahiyo mkuki kwa nguruwe tu!
 
IN THE MATTER OF THE KADHIS' COURT, OTHER COURTS
AND
IN THE MATTER OF CONSTITUTIONAL REVIEW
AND
IN THE MATTER OF ENFORCEMENT OF FUNDAMENTAL RIGHTS
AND FREEDOMS OF THE INDIVIDUAL UNDER SECTIONS OF THE CONSTITUTION OF TANZANIA

The Grounds of the Summons and Supporting Affidavits:

A. Tanzania is a multi-religious and multi-cultural state and the Constitution defends this position;
B. The separation of the state and religion must be respected and promoted but allowing Kadhi Courts in Tanzania's Constitution will contradicts this cardinal principle;
C. There is no valid basis whatsoever for the inclusion of the Kadhis' Courts in the Constitution;
D. The entire process of the Constitutional Review has been skewed, biased against Christians and other Tanzanians and bereft of any iota of Constitutionalism;

1. Who appoints Chief Kadhi and Kadhis?
2. What are the qualification for appointment to the office of a Kadhi (including a Chief Kadhi)?
3. Since the Kadhis are not trained lawyers who understand the Evidence Act and the Civil Procedure Act, how and/or what will they use to administer their Courts?
4. Muslims are mainly of two sects in Tanzania - the Sunni and Shia. Majority of the Muslims in Tanzania are Sunni Muslims but there is a significant population of Shia Muslims too and consideration ought to be given to the appointment of Kadhis of the Shia Sect to cater the interest of the Shia Muslims. Will they have two different Courts? For Sunni and Shia?
5. How will Muslim Women be protected since: Muslim law regards women as less than men in matters of both marriage and divorce, as well as devolution of property: Holy Quran Surah 2:228-232, and Surah 65:1-7 (only a man may divorce his wife even if he is required to provide for her); a man may beat his wife, even if lightly, the evidence of two women, is equal to evidence of one man (Surah 2:282). The application of such beliefs of faith are contrary to the Constitution.

Islamic "Kadhi" courtsis illegal and discriminatory. The Kadhi court system will elevates Islam over the country's other religions, and should be deemed unconstitutional because it does not coincide with Tanzania's secular mandate and should not be included in the nation's new constitution.

MY CONCERNS
(a) There is no valid basis whatsoever for the inclusion of the Kadhis' Courts in the Constitution;
(b) If Muslims alone get preferential treatment for setting religious Courts, then other communities and faiths would come forward to have separate courts
(c) Provision such as Kadhis' Courts is normally covered under the general law. It should not be part of the main body of the Constitution,
(d) Due to different school of interpretation of the Holy Koran and Hadith which figh will the Kadhis' Courts follow? Will there be Kadhis' Court as per separate jurisdiction of Shias and Sunis? What would be the views of Ismaili or Bohra Communities on the issue?
(e) Even in Pakistan, no universal Islamic courts could be established due to confusion and conflicts between the figh Jaferia of Shias and the figh of Sunis
(f) Several sects of Muslims community do not follow Kadhis' Courts but have their own jurisprudence.
(g) The awards of the Kadhis' Courts are based on the sole discretion of the Kadhi. What view do the Muslim Women have on this system? Do the majority of the Muslim Women concerned get a fair trial in Kadhis' Courts? Are they convinced that their welfare and fundamental rights are protected at the hearings?

MY RECOMMENDATIONS
(1) All people should be given options to go to independent or higher courts. The High Court and Court of Appeal should be above religious courts, if such courts are part of the Constitutional provision either directly or indirectly;
(2) There should be an open door policy to change the laws which cannot be challenged,
(3) Courts should be authorized to employ scholars who would enlighten judges on the interpretation of religious doctrines;
(4) The draft recommends setting up Village Councils to deal with minor problems in rural areas, which can take care of local religious sentiments to protect national unity and religious harmony. Expand the role of Village Councils to deal with social disputes;

Respectfully submitted,

August 24, 2014

Isome uelewe, niliipata humu

Fanatical Christian view of the Kadhis' Courts.

Maswali yako yote yalisha ulizwa na Wenzako, yalisha jibiwa na kufanyiwa kazi. Hata humu JF pia tulisha yajibu. Tatizo hua hamsomi mada husika.

Hii ni sehemu ya Katiba ya Kenya inatumika sasa hivi, nchi ambayo ina Waislamu wachache kuliko Tanzania, lakini wakristo wa nchi hiyo hawana ajenda za siri na nchi, wala hawapokei maagizo kuhusu mstakabli wa nchi yao kutoka Vatican.

Part 3-Subordinate courts

Subordinate courts.

169. (1) The subordinate courts are- (a) the Magistrates courts;
(b) the Kadhis' courts;

(c) the Courts Martial; and

(d) any other court or local tribunal as may be established by an Act of Parliament, other than the courts established as required by Article 162 (2).

(2) Parliament shall enact legislation conferring jurisdiction, functions and powers on the courts established under clause (1).

The Constitution of Kenya 105

170. (1) There shall be a Chief Kadhi and such number, being not fewer than three, of other Kadhis as may be prescribed under an Act of Parliament.

(2) A person shall not be qualified to be appointed to hold or act in the office of Kadhi unless the person-

(a) professes the Muslim religion; and

(b) possesses such knowledge of the Muslim law applicable to any sects of Muslims as qualifies the person, in the opinion of the Judicial Service Commission, to hold a Kadhi's court.

(3) Parliament shall establish Kadhis' courts, each of which shall have the jurisdiction and powers conferred on it by legislation, subject to clause (5).

(4) The Chief Kadhi and the other Kadhis, or the Chief Kadhi and such of the other Kadhis (not being fewer than three in number) as may be prescribed under an Act of Parliament, shall each be empowered to hold a Kadhi's court having jurisdiction within Kenya.

(5) The jurisdiction of a Kadhis' court shall be limited to the determination of questions of Muslim law relating to personal status, marriage, divorce or inheritance in proceedings in which all the parties profess the Muslim religion and submit to the jurisdiction of the Kadhi's courts.

Maswali yako yakizushi, yanapata majibu yake hapo!, ingawa article hiyo yako tulishaijibu siku za nyuma.
 
Mzimu Tume ya Warioba haikutupilia mbali maoni yenu ya kutaka mahakama ya Kadhi. Warioba na Tume yake walishauri kuwa nchi washirika wa Muungano ziangalie uwezekano wa kuweka mahakama hiyo kwenye katiba zao. Kwa maana kuwa mahakama ya kadhi ikikubaliwa ianzishwe sambamba na mahakama nyinginezo zitakazokuwa chini ya Tanganyika kama vile sasa mahakama hiyo ilivyo chini ya nchi mshirika ya Zanzibar.

Kwa maana nyingine Warioba na Tume yake walitaka mahakama ya Kadhi isiwe jambo la Muungano bali liwe jambo la nchi washirika. Kwa muktadha huo sio sahihi kumbebesha Warioba na Tume yake mzigo wa lawama bila sababu. Walaumu CCM kwa kuitupia mbali rasimu ya katiba.

Kinyungu, nukuu nimeipata kupitia sheikh Issa, ingawa ni bado ni Reported Speech, lakini Sheikh Issa ameiweka vizuri sana. Sinachakuongeza hapo!

“Lakini hili tumeliona toka katika Tume ya Jaji Warioba walipotuambia kwamba suala hili lisiingizwe katika maoni ya Rasimu ya Katiba hadi nchi mbili washirika kwa maana ya Zanzibar na Tanganyika zitakapokuwa na Katiba zao na waliingize suala hili katika katiba hizo,” alisema Sheikh Issa.

Alisema walihoji jambo hilo, lakini majibu yaliyotoka waliona hayakuwa na nia njema katika kuleta Kadhi katika nchi hii.
“Tulipata majibu ambayo yalionyesha kabisa mwelekeo mzima juu ya Kadhi ni ‘negative’, kwahiyo toka ilipoanzia na hapa ilipofikia hatushangai,” alisema Sheikh Issa
 
Kinyungu, nukuu nimeipata kupitia sheikh Issa, ingawa ni bado ni Reported Speech, lakini Sheikh Issa ameiweka vizuri sana. Sinachakuongeza hapo!

"Lakini hili tumeliona toka katika Tume ya Jaji Warioba walipotuambia kwamba suala hili lisiingizwe katika maoni ya Rasimu ya Katiba hadi nchi mbili washirika kwa maana ya Zanzibar na Tanganyika zitakapokuwa na Katiba zao na waliingize suala hili katika katiba hizo," alisema Sheikh Issa.

Alisema walihoji jambo hilo, lakini majibu yaliyotoka waliona hayakuwa na nia njema katika kuleta Kadhi katika nchi hii.
"Tulipata majibu ambayo yalionyesha kabisa mwelekeo mzima juu ya Kadhi ni ‘negative', kwahiyo toka ilipoanzia na hapa ilipofikia hatushangai," alisema Sheikh Issa

Ni kama vile Jaji Warioba alilikwepa suala hili kwa kisingizio cha kuliweka katika katiba za nchi washirika!.
Haikuwa na mantiki yoyote Warioba kuisemea Tanganyika au Zanzibar kwa sababu hakutumwa kuunda katiba ya nchi hizo! yeye alitumwa kwa ajili ya katiba ya TANZANIA. What if Tanganyika ikilikataa? si ni wazi mawazo yale ya Wananchi wanaotaka mahakama ya kadhi yatakuwa hayajasikilizwa?.

Ni hoja mfu kudai eti mahakama ya kadhi siyo jambo la muungano na hivyo mahakama hiyo ijadiliwe na nchi washirika tu, KAMA SIYO JAMBO LA MUUNGANO BASI WARIOBA NA TUME YAKE WALITAKIWA WALIFANYE KUWA NI LA MUUNGANO KIKATIBA THEN LIPATE RIDHAA YA WANANCHI HII SI NDO MAANA YA KATIBA MPYA?.

Mimi binafsi siungi mkono mahakama ya kadhi kwa sababu moja tu nayo ni: WENYE KUITAKA MAHAKAMA HIYO WANACHAGUA MAMBO MACHACHE TU YA KUYAHUKUMU KIISLAMU, WAKATI QUR'ANI INA HUKUMU NYINGI ZAIDI YA HAYO.
 
Sio kila kilichoombwa na wananchi ama kundi lazima wapewe. Ni muhimu kutazama sababu, faida, hasara na mazingira
 
Ni kama vile Jaji Warioba alilikwepa suala hili kwa kisingizio cha kuliweka katika katiba za nchi washirika!.
Haikuwa na mantiki yoyote Warioba kuisemea Tanganyika au Zanzibar kwa sababu hakutumwa kuunda katiba ya nchi hizo! yeye alitumwa kwa ajili ya katiba ya TANZANIA. What if Tanganyika ikilikataa? si ni wazi mawazo yale ya Wananchi wanaotaka mahakama ya kadhi yatakuwa hayajasikilizwa?.

Ni hoja mfu kudai eti mahakama ya kadhi siyo jambo la muungano na hivyo mahakama hiyo ijadiliwe na nchi washirika tu, KAMA SIYO JAMBO LA MUUNGANO BASI WARIOBA NA TUME YAKE WALITAKIWA WALIFANYE KUWA NI LA MUUNGANO KIKATIBA THEN LIPATE RIDHAA YA WANANCHI HII SI NDO MAANA YA KATIBA MPYA?.

Mimi binafsi siungi mkono mahakama ya kadhi kwa sababu moja tu nayo ni: WENYE KUITAKA MAHAKAMA HIYO WANACHAGUA MAMBO MACHACHE TU YA KUYAHUKUMU KIISLAMU, WAKATI QUR'ANI INA HUKUMU NYINGI ZAIDI YA HAYO.

Mkuu umenena vyema sana. Haya ni majibu kwa wale wenye Mashaka.

Vile vile nikweli kua Mahakama zetu za kadhi zimepunguzwa mambo mengi kulinga na stage tuliokua nayo.
 
Saa nyingine huwa watu Fulani wakianzisha uzi Napata taabu sana kuwaelewa wanaongelea issue au watu? Very consistent na focus juu ya watu Fulani hasa wanaoamini kwamba hawako na fikra zinazofanana. Taabu yenyewe ni pale hamu ya kuwafuatilia inapofifia kabisa. Unaangalia kicha nani kaleta? una-cruise tu.
 
Pole Mkuu mwenzangu! Dawa karibia zote ni chungu. Sindano zinauma. Dawa chache sana ni tamu. Hasa za watoto wadogo.

Chamsingi ni kwamba, si unawekewa ushahidi wa hayo usio yapenda!. Sasa shida iko wapi?.
 
Back
Top Bottom