Sina tatizo nawagombea wote wa Uv CCM isipokuwa kwa uchambuzi wa ndani kabisa haiingii akilini kwa wagombea wawili Beno na Kawawa Jnr kugombea nafasi hizo, kwanza wote niliowataja tayari ni wa NEC wakuchaguliwa kupitia kundi la vijana nafasi wanayogombea inampa mshindi nafasi ya kuwa mjumbe wa NEC!!!!!!! BAshe si mjumbe wa NEC hivi kwa akili ya kawaida kabisa kwa nini wajumbe wasimchague Bashe kwa maana halisi ya kuongeza uwakilishi wa vijana katika NEC?
Kimsingi kabla mazungumzo hayajaenda mbali niliweke wazi hili, tulipokuwa tukizungumza clouds fm, hatukutaja jina la hussein bashe, na baada ya kusoma hapa naanza kuhisi kuna watu wanakusudia kutumia hili kisiasa maana yanayosemwa juu ya kina benno na ridhiwani ni mawazo binafsi ya aliyendika hapo juu, hebu tuwe wakweli badala ya kumlisha mtu maneno, narudia sina mgombea na wala mimi mpaka sasa sio mpiga kura, haya ni uzushi
Kingine nillichozungumza ni swala zima la kufungwa kwa vyuo vikuu nchini....nilisema naamini kinachopigiwa kelele sio SERA YA UCHANGIAJI YENYEWE bali ni UTEKELEZAJI WA SERA, hivyo sioni sababu ya serikali kutumia ubabe kufunga vyuo badala yake wakae chini na wadau kujadili namna bora ya kutekeleza sera hii. Najua kuwa iko katikati ya mwaka wa fedha wa serikali lakini muhimu kukubali kuwa yapo matatizo katika utekelezaji wa sera hii, ili njia bora itafutwe kisha tuwe na utekelezaji bora zaidi mwaka ujao wa fedha. Maghembe aache ubabe si jambo la buisara kila mara kufunga vyuo hivi maana tunaanzisha utamaduni mbovu wa kutojadiliana kumaliza matatizo yetu hili sio jema.....
Hivi wewe kijana unafanya kazi wapi?kwanini unag'ang'ania siasa,hauwezi kuwaisaidia watanzania mpaka uwe mwanasiasa.Maghembe aache ubabe si jambo la buisara kila mara kufunga vyuo hivi maana tunaanzisha utamaduni mbovu wa kutojadiliana kumaliza matatizo yetu hili sio jema.....
Hapa ulipeleka ujumbe mzuri kwa Maghembe. Je ulipeleka ujumbe wowote kwa wanafunzi( vijana wenzako) ambao kila semester lazima wapate sababu ya kugoma kwa kutoingia darasani na kufanya fujo, kama jinsi walivyosababisha kifo cha mwenzao semester iliyopita na kumkata na chupa mwenzao mwingine katika mgomo huu.
Je umewakumbusha kuwa wakati wao wanagoma vijana wenzao kwingine duniani wanaingia darasani kubuni mbinu mbalimbali za kuyawezesha mataifa yao kuwa katika nafasi nzuri katika kushindania rasilimali chache zilizopo?
Haya ni mambo ya msingi ambayo vijana wanaogoma kuingia darasani inapaswa waambiwe hata kama they are not popular views, hii ni iwapo maslahi ya taifa yatawekwa mbele ya maslahi ya kisiasa.
Hivi wewe kijana unafanya kazi wapi?kwanini unag'ang'ania siasa,hauwezi kuwaisaidia watanzania mpaka uwe mwanasiasa.
Hivi Tatizo ni magembe au tatizo ni bodi ya Elimu ya juu ambayo inaada hizi sera???Mie naanza kupata wasiwasi na wanasiasa wa aina nako.Wewe bado unaendeleza siasa za makundi ila kwa wakati mwingine unaonekana haupo!punguza jzba na utakuwa bora tu!
Nakushauri usiwe unakurupuka tu kuongea mambo ila anza kujua chanzo ni nini?
Jifunze kutoka kwa Mwanakijiji kwa upande mmoja,ila kw aushabiki wake wa kushadadiia chama flani kipindi flani ndiko mie huwa ananiboa,otherwise,Mzee unaweza
Tofauti na watoto wengine wa "vigogo" mimi nimesoma kama watoto wengine wakawaida kabisa na wakati mwingine kwa shida kuliko wengi wetu hapa. Nikukumbushe BODI YA MIKOPO SIYO WATUNZI WA SERA BALI CHAMA TAWALA NDIO HUTUNGA SERA NA KUZITAFISIRI KWENYE ILANI YA UCHAGUZI, NA KISHA WAKIPEWA RIDHAA NA WANANCHI HUUNDA SERIKALI KUZITEKELEZA HIZO SERA... Huu ndio utaratibu hivyo bodi iliundwa na serikali kutekeleza sera ambazo tayari zipo ninazoamini hazina matatizo bali mkakati wa kutekeleza hupangwa na serikali ndo maana nikasema, liko tatizo katika utekelezaji wake siyo swala la bodi, Bodi si wapangaji wa SERA , wala MKAKATI WA KUTEKELEZA ni watekelezaji tu.
Mkuu Nape,
Hivi sera na ilani vinategemeana?
Pili,
Wewe si nimesikia umemaliza shule tu huko India majuzi?Huko ndiko kusoma na watanzania waliosoma Pale Mlimani,SUA ?
Mkuu Nape,
Hivi sera na ilani vinategemeana?
Pili,
Wewe si nimesikia umemaliza shule tu huko India majuzi?Huko ndiko kusoma na watanzania waliosoma Pale Mlimani,SUA ?
Tom, its too cheap to support M-bongo's idea of allow Bashe's nomination simply because other contestants are already NEC members. Bashe's team is required to prove whether their contestant is capable of fulfilling the duties and responsibilities of the post! Tofauti na hivyo mtaendelea kuonekana mnaendeleza 'cheap campaign' kwa huyo mgombea wenu. Haiwezekani kuchagua kiongozi kwa kigezo cha kuongeza uwakilishi hata kama hafai, aje na style nyingine!Naungana kabisa na M-bongo kwa maoni ya uchambuzi juu ya nafasi ya makamu mwenyekiti wa UVCCM. Ni dhahiri kabisa kuwa wagombea wote walioteuliwa wana haki kabisa ya kugombea na kuchaguliwa kushika wadhifa huo. Hata hivyo nadhani ni vema busara ingekutimika zaidi kwa hawa wagombea wengine ambao tayari ni wajumbe wa NEC kwa lengo la kuongeza idadi ya vijana ndani ya kikao muhimu kabisa cha NEC.Maana hata ukiyasoma majukumu ya nafasi ya makamu mwenyekiti,kwa mwanasiasa makini na mwenye upeo wa kimtazamo,huwezi kutumia nguvu nyingi kuisaka nafasi hii hashwa kwa wale ambao ni waNEC tayari.Si kila jambo linataka ushindani tu,nadhani hata busara inahitajika ikiongozwa na ukomavu wa kisiasa.
Ahsante sana sana ndugu yangu Mpendakwao!! Ahsante sana kwa muda wako ulotumia kuandika maneno ya busara na too encouraging, thanks a lot. Nimefarijika kuona wapo vijana na watanzania ambao wanaweza kuwa na uzalendo kwa nchi yao na wasiathiriwe na ITIKADI ZA VYAMA VYAO, MIMI NAAMINI TANZANIA ITAJENGWA NA VIJANA WENYE UZALENDO KWA NCHI YAO, UZALENDO AMBAO INAPOFIKIA MAHALI ITIKADI ZA VYAMA VYAO ZINAPOSHINDWA KUULINDA UZALENDO KWA NCHI YAO WAPO TAYARI KUSIMAMIA UKWELI....Comrade Nape,
I think you deserve to be congratulated for the courage shown in standing up for the democratic values you believe in. You may never know the true extent of how your incidence and those of Nimrod Mkono vs UWWZ-CCM, Rita Mlaki vs UWT-CCM, have contribute towards the developing wave for change in Tanzania. I just want to give you a simple piece of advise, Keep focused and steady. We are watching and aware of all that goes on even in the darkest corners of the political arena.
It is also worth noting that you are the only politician attached to CCM who had the courage to raise the fate of University students handled in such an incompetent manner by Maghembe and the Calamitous intervention of the uninformed Chiligati. Hakuna cha Mataifa ya kigeni wala Upinzani kuwatumia Wanafunzi.
Ukweli ni tatizo za sera yenyewe. Natumaini kuwa hiyo speed iliyotumika kumfikisha Some innocent Mtatiro mahakamani , itatumika vile vile kuwafikisha kina Rostam na wenzake waliobaki ili tujue ukweli, hawa na mafisadi ndiyo wenye ajenda ya siri, kwanini Chiligati hakulizungumzia hili kama ana uchungu wa kweli na amani na usalaama wa Taifa letu.
Mimi nadhani nafasi ulionayo Nape usiitumie kujibu allegations na udaku bali tujadiliane namna ya kulet mabadiliko ya kweli Tanzania, Kenya ilibidi watu walio na uchungu wa maendeleo ku-ditch mavyama yao na kuwa na Rainbow coalition , walipoona ujinga unazidi wakatoka na kuunda ODM, matokeo yake mawziri ishirini hawana nafasi hata za ubunge sasa wanataka kubadilisha katiba, na mengine yet wao wana equal chance to contest for political postions. Why not Tanzania, why should a poltical fate ya kijana kama wewe iwe determined by Commander wa Vijana, Makamba na Nchimbi? In whose interest?
Kama umeamua kweli kupambana na hili jinamizi la kisiasa, focust on the bigger picture " Change at any cost" mambo ya kina Beno sijui mzanzibari, sijui wewe ni mlalahoi au kigogo ni diversion siajabu toka humo CCM. Jumuiya zake zote zinalumbana, hat katawi kake uingereza ni ubabe,majungu na starehe tuu. Thsi give you a clear indication of l;ack of any serious agenda, the Real agenda that Mr Chiligat sould be made aware of is "Political Revolution" through people power. Karibu aisee huku kugumu lakini tutafika tuu at any cost.Hivyo umewahi.
Mkuu Nape,Ahsante sana sana ndugu yangu Mpendakwao!! Ahsante sana kwa muda wako ulotumia kuandika maneno ya busara na too encouraging, thanks a lot. Nimefarijika kuona wapo vijana na watanzania ambao wanaweza kuwa na uzalendo kwa nchi yao na wasiathiriwe na ITIKADI ZA VYAMA VYAO, MIMI NAAMINI TANZANIA ITAJENGWA NA VIJANA WENYE UZALENDO KWA NCHI YAO, UZALENDO AMBAO INAPOFIKIA MAHALI ITIKADI ZA VYAMA VYAO ZINAPOSHINDWA KUULINDA UZALENDO KWA NCHI YAO WAPO TAYARI KUSIMAMIA UKWELI....
Narudia kukushukuru kwa dhati karibu sasa tujadili mustakabali wa nchi yetu,leteni hoja tujadili naamini katika mijadala hii na tukiwa wak kweli bila unafiki tutafika mahali pazuri...Wazee wetu walodai uhuru walitimiza wajibu wao, kama binadamu pengine walikuwa na mapungufu pia, lakini ni wajibu wetu sasa kuijenga nchi yetu, sisi si wengine na itawezekana tu tukipata watu wasioota ndoto za ukoloni kila wanapoona mabadiliko yananukia.
I STRONGLY BELIEVE THAT CHANGES IN THE POLITICAL ARENA IN TANZANIA ARE INEVITABLE NOW, GIVEN TIME MAENEO YOTE YA MAISHA YA MTANZANIA YATABADILIKA, BUT TUANZE NA SIASA YETU.....NIMEPENDA SLOGAN....CHANGE AT ANY COST....IT SI POSSIBLE, PLAY YOUR PARTY!!
AJitoe then ajitoe upinzani arudi tena CCM...? Kama ameamua kupambana ndani ya CCM, let it be....