Hata wanaompokea hawaonyeshi kufurahia.Tizama facial expresion,hana amani.
hawa watu wanawaumiza wananchi sana.sio vyama wanavyotoka.Hata wanaompokea hawaonyeshi kufurahia.
Serikali ya tz ndy nchi pekee inayotumia pesa nyingi kuwa nunua wabunge wa upinzaniChadema ndio Chama cha kwanza Duniani kutangaza kuwa Viongozi wake wananunuliwa Kama Peremende!
Kamati kuu ya Chadema iliyofanya Uteuzi wa Wagombea Ubunge na Udiwani 2020 ijiuzulu kwa kukosa Umakini na kuteua Watu wanaonunulika!
Serikali ya tz ndy nchi pekee inayotumia pesa nyingi kuwa nunua wabunge wa upinzani
Ova