CCM yampokea Mbunge Godwin Mollel toka CHADEMA

Naomba niwakumbushe kuwa nchini hakujawahi kuwa na chama halisi cha upinzani. Ila tumekuwa na baadhi ya watu wapenzi wa siasa za upinzani. Na wamefanya kazi nzuri tuu.
Na wala hakujawahi kuwepo na siasa za vyama vingi wala demokrasia ya kweli nchini mwetu. Yoote yaliyokuwa yanatokea ni maigizo tu. Bado yapo mengi mbeleni yatakayo endelea kuthibitisha kauli hii.
 
Chadema ndio Chama cha kwanza Duniani kutangaza kuwa Viongozi wake wananunuliwa Kama Peremende!

Kamati kuu ya Chadema iliyofanya Uteuzi wa Wagombea Ubunge na Udiwani 2015 ijiuzulu kwa kukosa Umakini na kuteua Watu wanaonunulika!

Everybody has a price. Including you.
 
Niliwahi kusema Tanzaniahakuna vyama vya siasa kwa maana halisi ya vyama vya siasa, kuna magenge ya kutafuta ulaji tu.

Hili wimbi la watu kuhamahama vyama linathibitisha tena wazo hilo.
 
Kwa mazingira hayo ,atakuwa na maisha ya hofu kwa usaliti wake
 
Ujinga ni nini??
Ujinga ni mtu kuchaguliwa mbunge alafu akadhani kuwa kazi yake ni kufumba macho na kuwa upande wa rais.. Akiunga mkono na kutetea chochote kile kinachofanywa na taasisi hiyo..

Wananchi tusilishwe ujinga wa wabunge wajinga.. Inabidi tuwajulishe wabunge wetu kuwa kazi yao ni kuisimamia serikali bila kujali kuwa wao ni wapinzani ama laa!!
 
Mapokezi ya Aliyekuwa Mbunge wa Siha. Kwa tiketi ya Chadema Dr. Godwin Mollel. Katika tawi lake la karansi wilaya ya SihaView attachment 651710
Kuacha huyu mbunge wa Siha ni mbunge yupi mwingine wa Chadema walishampokea? Mnapoleta habari muwe na uhakika na mnachoandika.Hakuna mbunge wa chadema aliyepokelewa ccm zaidi ya huyu njaa kali wa Siha.
 
Kichefuchefu!!
Hivi kwa akili ya kawaida mbunge anahacha tu ubunge sababu tu anaunga mkono Rais.Hii utokea tu kama kuna kitu nyuma yake au kuna ukichaa au uwendawazimu. Tena doctor. Watu Kama Hawa hawafai katika jamii tena wanaumeee inauma Sana, haya ni matumizi Mabaya ya fedha ya nchi.
 
Chadema ndio Chama cha kwanza Duniani kutangaza kuwa Viongozi wake wananunuliwa Kama Peremende!

Kamati kuu ya Chadema iliyofanya Uteuzi wa Wagombea Ubunge na Udiwani 2015 ijiuzulu kwa kukosa Umakini na kuteua Watu wanaonunulika!
Ni ngumu kijua moyo wa mtu unafikiria nini. Mdio maana nakuona p.umbav. ww
 
Safi sana,lakini alishapokelewa toka akiwa ndani ya chadema Mara baada ya kukamilishwa furaha mkupuo.
 
Back
Top Bottom