CCM yampokea Mbunge Godwin Mollel toka CHADEMA

wapinzani wanatumia tukio hili la kukachwa na wanachama wake na viongozi kama wimbo wa kuboresha vilio vyao vya sikuzote badala ya kulichukulia kama somo la kujirekebisha.

Kwamba nao watafute mitaji ya kufanyia hiyo biashara?
 
Izi shule za Phd na Dkt ni matatizo sana.Bora wale walioishia std 7 kuliko hawa nyang'au wa Phd na Dkt.Dkt mzima unatoa childish reasons za kuacha ubunge!!Nonsense.
 
Mbowe ana jambo la kujifunza. Aache kuwabeba watu. Atambue kuwasoma wachumia tumbo na wapinzani halisi. Msichaguane vile mnafahamiana.

Chadema wajipange upya. Itisha wabunge wote kila mmoja ale kiapo
Mwenye nia ya kuhama chama ahame siku hiyo

Waliohama waandikieni barua walipe gharama mlizotumia kuwanadi maana hawana msimamo wala utu. just saying najua kutakuwa na pingamizi lakini wanaudhi wazandiki hawa
 
Upende Peneza Mb

Bachelor degree:Sociology 2009-2014.

Form six: Green Acres 2007 PCB
 
Unajua hawa wakuja wanashida, hapo ndipo upinzani ujue maana ya kuchagua mtu wa kusimama kutetea chama, mtu anakuja kwako leo, unamwamini, unamwacha na mke wako wewe unahamia sehemu nyingine hata pasipokujua tabia yake wala ujawahi kaa nae unategemea nini. Mtu mwenye uchungu na mke/mme ni yule aliyetafuta mwenyewe siyo kutafitiwa au kupewa kama hisani. Tujifunze, tubadilike.
Hilo ni kosa kubwa sana Chadema wanafanya.
 
Huyu alikuwa mwanachama wa CCM, 2015 akakimbilia Chadem baada ya kuangushwa kwenye kura za maoni na Mwanry., Chadema wakafanya kosa kubwa la kumuamini na kumpa kugombea ubunge bila kufanya vetting ya kutosha.
 
Back
Top Bottom