MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
CCM vipande-vipande kitambo sana.
Hata kipindi kile cha chopa 3, kata 3? Au imemeguka hivi karibuni?
CCM vipande-vipande kitambo sana.
Huu muda mnaopoteza kuishambulia CCM.
Imarisheni UKAWA, waambieni na wananchi kwanini wawaamini, na waulizeni kwanini wanawaona ni matapeli. CCM sio saizi yenu.