CCM yameguka


nyie ni ukawa ua ex chadema
 
Kinana anawatoa makamasi,..mtaisoma,namba mwaka huuu
Kinana kanyaga twende Comrade
Pamoja na kumsifia angalia vizuri utaifa wake, anaweza kuhamia popote baada ya kutimiza lengo lake na kuiacha tz kama toilet paper.
 
Dua la kuku!
Mwewe anaendelea kupaa!
 
Hadithi hadithi....hadithi njoo uongo njoo.....haya tuletee na uongo mwingine....
 
Akilogwa aoneshe tu nia aone kama mpaki kijiji chake pale somalia hakajatajwa na kama haamini amwulize salim au jen ulimwengu.chezea ccm wewe?
 
Mimi nadhani huyu mzee anafanya kazi nzuri sana kwa chama chake. Kwa muda mrefu chama kilikuwa hakisikiki mpaka watu wakadhani kuwa kazi za majukwaani ni za wapinzani pekee. Kazi kubwa ambayo amekuwa akifanya ni kutenganisha chama na serikali hasa kwenye utekelezaji wa ahadi za chama. Yaani chama kinaguswa na matatizo ya wananchi na kinasimamia ahadi zake za wakati wa kampeni ila kinakwamishwa na utendaji serikali hasa mawaziri mizigo. Wananchi wakimwelewa kwa hili basi wapinzani wana kazi kubwa mwakani.
 
Huu muda mnaopoteza kuishambulia CCM.
Imarisheni UKAWA, waambieni na wananchi kwanini wawaamini, na waulizeni kwanini wanawaona ni matapeli. CCM sio saizi yenu.
...mbende mbende tayari...
 
Kinana na presidential candidate, nilipost humu tetesi hii mods waka iondoa!
 
Utendaji wa Kinana umeongeza sana kasi ya kupendwa kwa CCM. Mungu ampe maisha marefu Komredi huyu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…