GE2025 CCM yalaani waliochana mabango ya mgombea urais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,131
Chama Cha Mapinduzi CCM Jimbo la Musoma Mjini kimelaani tukio la watu wanaotajwa kikundi cha vijana waliochana na kutoboatoboa mabango ya mgombea wao wa urais Dkt.Samia Suluhu Hassan ambayo yamebandikwa maeneo mbalimbali ya Mji wa Musoma na kudai kitendo hicho hakikubaliki.

Hayo yamejiri ikiwa ni mwendelezo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 zinazoendelea hapa mjini Musoma na maandalizi ya mapokezi ya mgombea huyo wa urais anayetarajiwa kuwasili mkoani humo wiki ijayo.
 
FB_IMG_1759599561710.jpg
 
Kwa huku niliko kila baada ya siku mbili hadi tatu wanabandikq mapya
 
Back
Top Bottom