CCM yakataa ombi la Lowassa kurejea chamani

Habari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.

Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.
Kati ya Lowassa na Mtulia nani angeipa CCM kiki?!!.......nyakati nyingine tujitahidi kuwa wakweli!
 
Mpelembwe tena?.... Umenikumbusha yule mzee Mpelembwe alikuwa DC!
 
Waweke ushahidi hapa,pili Mzee Lowasa akirudi CCM,baadi ya wanaccm watashangilia na furaha itarudi mioyoni mwao.
 
Habari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.

Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.
Hilo gazeti la kufungia vitumbua mamvii hata kesho akiamua kurudi wanampokea ccm yote
 
Habari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.

Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.
Ni hii ccm inayonunua madiwani au unaongelea IPI mkuu?
 
Aliemwambia Rais akatubu amekiri kaomba Radhi kwa Rais japo kasikitika TRA kufichua hilo
hmnaa mbna kasemaa kakataaa kwa Herufi kubwaaa kuwa hawez omba msamaaa kwa mtu yyte maana aliyozungumza yantoka kwa mungu, kasem kuomba msamaha nikulikna litokalo kwa mngu.....kasemaa alituma waraka wakichungaji kamwambia kma ulivotaka kuombewa basi wakati wakukuombea ndio ujumbe alopewa nmungu kuwa ukatubu ka nukuu kutoka kitabu cha timotheo.......kijana hukuskiliza vzuri mahubiri nini yy kashangaa iweje TRA waseme uongo na imekuaje TRA niwazngumzaji wa ikulu. ... nanukuu"narudiaa tena kwa Herufi kubwa siombi msamhaa kwa mtu nasitokaa kuomba msamaa kwa mtu, hahaha sijafikia hapo nitaliubiri neno kama lilivo siwez acha kuhubiri ukweli kwakigezo eti cha kukaguliwa kodi"...
 
Inaweza kuwa uwongo ila kwa huyu mzee pia sishangai
 
Gazeti ni Uhuru, Msemaji ni Pole Pole...... Trump alisemaje kumbe??
 
Chadema never trust Lowassa yupo kwenye special mission hapo Chadema hii ya CCM kumkataa ni movie

Hakuna special Mission za Kijinga hivi, Kama ni special mission iweje CCM waseme ameomba kurudi wakakataa? sasa hapa si special mission imekufa.

Bora ungesema haya siku zile Lowasa anasema aliombwa na Magufuli arudi akakataa hapo ningekuelewa.
 
Maswali hayo kamuulize aliekiri kuandika Barua ya kuomba radhi
 
Hakuna special Mission za Kijinga hivi, Kama ni special mission iweje CCM waseme ameomba kurudi wakakataa? sasa hapa si special mission imekufa.

Bora ungesema haya siku zile Lowasa anasema aliombwa na Magufuli arudi akakataa hapo ningekuelewa.
Lowassa ni mguu mmoja CCM mguu mwingine Chadema.
 
Aliemwambia Rais akatubu amekiri kaomba Radhi kwa Rais japo kasikitika TRA kufichua hilo
Akili yako unaijua mwenyewe. Labda aliomba msamaha chumbani kwako. Tuliosikia alichosema Kakobe ni kuwa hajawahi kuomba msamaha. Ameongeza kusema kuwa ni vema afe kabla ya kuomba msamaha.
 
Habari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.

Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.
Lakini taarifa tulizo nazo sisi kama taifa ni kuwa Mwenyekiti wetu na Ikulu vilimtaka arejee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…