CCM yajifunga yenyewe kwa bao la mkono

CCM yajifunga yenyewe kwa bao la mkono

emmanuel1976

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
301
Reaction score
80
CCM kwa hakika itajutia makosa yake ya kumuengua Edward Lowassa katika kinyang'anyiro cha urais kwa nguvu, hii ni sawa na kujifunga wenyewe kwa bao la mkono. Ikiwa UKAWA watatulia vizuri na kwa ufundi, huu waweza kuwa mwisho wa CCM.

UKAWA umeanza kuvuna wanachama na viongozi wa chama cha mapinduzi kila kona nchini. Tufani yenyewe ndo kwanza inataka kuanza. UKAWA mkishindwa kutumia fursa hii basi utakuwa ni mwisho wa siasa za upinzani nchini.
 
CCM kwa hakika itajutia makosa yake ya kumuengua Edward Lowassa katika kinyang'anyiro cha urais kwa nguvu ni sawa na kujifunga wenyewe kwa bao la mkono. Ikiwa UKAWA watatulia vizuri na kwa ufundi, huu waweza kuwa mwisho wa CCM.

Ukawa umeanza kuvuna wanachama na viongozi wa chama cha mapinduzi kila kona. Tufani yenyewe ndo kwanza inataka kuanza. Ukawa mkishindwa kutumia fursa hii basi utakuwa ni mwisho wa sasa za upinzani nchini.

ni kweli kabisa mkuu. UKAWA wasipotumia fursa hii adhimu kuingia magogoni watasubiri sana. CUF watafakari madhara upya madhara ya kujitoa UKAWA kwa maslahi ya taifa.
 
ni kweli kabisa mkuu. UKAWA wasipotumia fursa hii adhimu kuingia magogoni watasubiri sana. CUF watafakari madhara upya madhara ya kujitoa UKAWA kwa maslahi ya taifa.

Mkuu Tpaul, CUF wakijitoa Ukawa itawagharimu sana hasa huku bara. Watafakari kwa kina sana.
 
ni kweli kabisa mkuu. UKAWA wasipotumia fursa hii adhimu kuingia magogoni watasubiri sana. CUF watafakari madhara upya madhara ya kujitoa UKAWA kwa maslahi ya taifa.

hakuna kitu natamani kukiona wakikifanya ukawa kama 1 kufanya juhudi zitto kabwe naye ajiunge na ukawa na chama chake cha ACT. hapo hapo ukawa wakubali kumchukua lowasa ikiwezekana kumshawishi kwa hali na mali ajiunge na upinzani hapo ndio utakuwa mwisho wa ccm.

kumchukua lowasa pekee jamaa atakuja na wanachama wengi sana mhimu hasa kuna wabunge na madiwani atakuja nao ukawa.ambao wana siri nyingi sana za ccm hii itaongeza nguvu kubwa sana ya ukawa kutoa wabunge wengi na madiwani wengi kushinda ccm.

zitto kabwe naye akishawishiwa ajiunge ukawa itakuwa poa sana nazani yy na chama chake lazima kuna mahala atapata nafasi ya kusimamisha wabunge hivyo nae kuongeza nguvu kuliko akijitenga itakuwa sio powa.hatu taki kabisa kula za uraisi zitawanyike.
 
sisi kina gogo la shamba tunawaomba sana viongozi wa UKAWA wampokee EDO na ikiwezekana wampe nafasi ya kugombea urais, Lowasa kwa sasa ameshajua wabaya wake ni kina nani wapinzani sio wabaya wa Lowasa bali wabaya wa Lowasa ni ccm, siku Lowasa atatangaza kujiunga UKAWA ndio itakuwa mwisho wa Makufuli na ccm, siku hiyo itafananishwa na siku tuliyopata uhuru. sisi kina gogo la shamba kazi yetu ni kushauri kwa faida ya watanzania wote. hata ccm tuliwashauri wakitaka hasara ndongo wamchague Lowasa lakini hawakutusikiliza hushauri wetu
 
Kazi kwao UKAWA Kama cuf wakidanganyika na mabilioni ya ccm nao itakula kwao.
 
Kazi kwao UKAWA Kama cuf wakidanganyika na mabilioni ya ccm nao itakula kwao.

CUF wangejua kuwa UKAWA ndiyo iliwapaisha tena, wasingeanza kuleta longo longo.

Ila kwa vyovyote vile, wakijitoa UKAWA ndiyo watakuwa wamejimaliza kama walivyokaribia kufa kwa sababu tu ya SUK!
 
CCM kwa hakika itajutia makosa yake ya kumuengua Edward Lowassa katika kinyang'anyiro cha urais kwa nguvu, hii ni sawa na kujifunga wenyewe kwa bao la mkono. Ikiwa UKAWA watatulia vizuri na kwa ufundi, huu waweza kuwa mwisho wa CCM.
I
Ukawa umeanza kuvuna wanachama na viongozi wa chama cha mapinduzi kila kona nchini. Tufani yenyewe ndo kwanza inataka kuanza. Ukawa mkishindwa kutumia fursa hii basi utakuwa ni mwisho wa siasa za upinzani nchini.

Chukueni makapi...hatutaki mafisadi
 
ni kweli kabisa mkuu. UKAWA wasipotumia fursa hii adhimu kuingia magogoni watasubiri sana. CUF watafakari madhara upya madhara ya kujitoa UKAWA kwa maslahi ya taifa.

Watanzania hawawezi kupèleka mafisadi magogoni kwa tamaa za Mbowe
 
Back
Top Bottom