CCM yaiteka Songea (picha)

CCM yaiteka Songea (picha)

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,183
1.jpg Nape.jpg

Chanzo: Blog ya Michuzi
 
Mbona wanahesabika , hakuna utekaji hapo!
 
hao watu wote ni matokeo ya FUSO transport toka kila kata ya vijiji vinavyoizunguka songea.,halafu ccm mnalazimika kununua t-shirt kwa mamia kwa kila mkutano mtakaoufanya pamoja na kofia na ukodishaji wa fuso na pikipiki.je mtaimudu kasi ya CDM?
Ila subiri uone CDM itakapoingia hapo ndio utaona tofauti kati ya peoples power na jhao chumia tumbo na wafuata T-shirts na kofia
 
Kijana kajitahidi. Mapokezi aliyoyapata si haba
 
Wametekaji wakati juzi diwani toka chadema kapata kura?hapo ni KULA CCM KULALA CHADEMA
 
Hiki ni kile kikundi cha SACCOS, nakifahamu sana! walikuja kwenye marejesho ya mikopo yao!!!
 
Iila subiri uone CDM itakapoingia hapo ndio utaona tofauti kati ya peoples power na jhao chumia tumbo na wafuata T-shirts na kofia
Kwakweli hapa! hata mini nina wasiwasi kwamba huenda Fuso, Vitenge, T-shirts, Kofia na pengine Ubwabwa vimetumika.
 
Hao vikongwe walikusanywa na malori tangu asubuhi.Kiongozi wa kata wa CDM anapata watu wengi kuliko hao.
 
niko songea acheni uzushi kweli wa2 walikua wengi ila wamesombelewa toka maeneo mbalimbali na meng ni nnje kabisa ya mji.pia leo ni weeknd so wengi walifata burudani za vkundi vilivyo kua vki2mbuiza.pia nimeshuudia wa2 wakizomewa jioni wakati wanarudishwa kwao maeneo ya stand kuu.
 
Kwa songea ninayoijua mie,hii ni tukio la kupikwa, kata karibia zote zinaongozwa na chadema
 
niko songea acheni uzushi kweli wa2 walikua wengi ila wamesombelewa toka maeneo mbalimbali na meng ni nnje kabisa ya mji.pia leo ni weeknd so wengi walifata burudani za vkundi vilivyo kua vki2mbuiza.pia nimeshuudia wa2 wakizomewa jioni wakati wanarudishwa kwao maeneo ya stand kuu.

Penye ukweli uongo hujitenga,ukweli utasimama daima kuwa Chama cha Chadema ndio tumaini la Watanzania wengi
 
xubili pcha za helkopta mkuu, utaamini tu kama ccm waliteka songi
attachment.php



Niwaonavyo wote wamefungwa kamba shingoni ili wasitoroke kama mbuzi mtoro. Malori mangapi yalienda kuwachukua? Kwani wanaonekana wameandaliwa kufika kwenye mkutano huo kwa vile kuna sare. Chadema huwa hawana hiyo ila kila mtu kivyake tu. Hapa nani mwenye mavuno ya kweli?
 
Back
Top Bottom