Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,097
Jitu linalowaza ngono tu unadhani kuna akili imesalia kichwani mwake?........usikute hapo yupo Guest House na mke wa mtu. ila nampa angalizo uko Arumeru watu wamezoea kuchinja mbuzi, kwahiyo kumchinja mzinzi kama huyu Magulu Muchemba siyo issue kwao.Hawa ndio aina ya viongozi tulionao badala ya kuongea facts wanaleta mipasho, tuambie kwa nini Sioi atashinda sio hadithi za Bush na mechi za meru united,haya ya barca waachie mashabiki wa JF watatuambia. Hata kama CCM itashinda tell us how and why, kwa nini hamjifunzi uongozi mnakimbilia kuongoza? kweli i fell to understand the type of leadership we have in Tanzania they are not serious.
Hahaha, kama hamtaiba tu, tutatamani tar 2 April uwepo hapa kusema haya tena. Isije kuwa ni yale ya akina makamba kukimbia tarime kabla ya matokeo kutangazwa those days. I wish wameru wangekuwa na misimamo mikali kama ya wana wa Tarime. Ila kwa upole wa wameru, CCM mtachakachua kirahisi kama mnalia hivi.Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama
rais bush kuwa rais wa tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini ushindi wa ccm uko given kama jua kuzama
Hata bila utafiti, suala la ushindi kwa CCM liko wazi sana. Hawa Chadema hawana wanachama hata 10,000 Arumeru halafu wanategemea kushinda uchaguzi? Hizi ni ndoto za Abunuwasi!
Hata bila utafiti, suala la ushindi kwa CCM liko wazi sana. Hawa Chadema hawana wanachama hata 10,000 Arumeru halafu wanategemea kushinda uchaguzi? Hizi ni ndoto za Abunuwasi!
Ushindi wa CCM Arumeru hauhitaji tafiti, uko given kama pi.
Hata bila utafiti, suala la ushindi kwa CCM liko wazi sana. Hawa Chadema hawana wanachama hata 10,000 Arumeru halafu wanategemea kushinda uchaguzi? Hizi ni ndoto za Abunuwasi!
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama
WanaJF,
Gazeti la RAI la leo Alhamisi limekuja na utafiti wa mwisho kwa kile wanachodai wameufanya katika kata 17 tangu kuanza kwa kampeni katika jimbo la Arumeru Mashariki.Kwa mujibu wa utafiti huo gazeti hilo linadai kwamba CCM itaibuka na ushindi mkubwa wa asilimia 68% huku CHADEMA wakiambulia asilimia 28%.Gazeti hilo limetoa asilimia kadhaa vyama vitakavyopata katika kila kata.
Utafiti huo wa RAI unasema kwamba wana uhakika wa asilimia 100% kwamba matokeo ya uchaguzi hayatatofautiana sana na haya waliyoyatafiti kisayansi.Pia gazeti hilo limetua sababu kadhaa wanazodai ndizo zitachangia CCM kupata ushindi mkubwa huku CHADEMA ikianguka vibaya.
My take:
Mara nyingi sana tafiti kama hizi zimekuwa zikichangia watu wengi kukata tamaa ya kwenda kupiga kura.Pia CDM wanapaswa kuwa makini sana na watu wanaonunua shahada za kupigia kura kwani mara nyingi wamekuwa wakitumia tafiti kama hizi kufanya uhalifu huo.
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama
Imekuwaje tena?Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama
Mwigulu wahi Mtera, mke wa Lusinde amebaki peke yake, nenda ukamshughulikie. Jamaa bado amejifungia ndani Arumeru anatafakari namna ya kuchomokaRais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama