CCM yaiponza Ndanda FC

CCM yaiponza Ndanda FC

sasa huo mnatangaza uadui ndivyo mlivyo ambiwa na ufadhiri wenu tutawaogopa kama ukoma
 
nipo vizuri na jamii na ccm yangu sina dhiki kama za mtoa post

Hilo la kutokuwa na dhiki tunalielewa kwa kila mwana CCM kwani rasilimali zetu mnagawa wenyewe kupitia Kagoda, melemeta, escrow akaunti N.K. Hilo wala usituambie unatupa hasira kali, unaosema umekaa nao vizuri kwenye jamii wanajipendekeza tu kwako ili wapate chochote kutoka kwako au kwa CCM si zaidi ya hapo. UPENDO HAKUNA.
 
...

......ukiweka nembo ya chadema kwenye bodaboda wateja wanamiminika kama njugu !!!

DSC_0591.JPG
 
Mimi kama nikigundua ndugu yangu anaishabikia CCM na undugu unakufa hapo hapo............
 
Ndugu TAIRO mmiliki wa PENTAGON kurasini alionywa mapema kuhusiana na kuileta pale bendi ya Nape , VIJANA JAZZ , aliambiwa ataua bar yake lakini hakusikia , leo hii ukikuta wateja hata watatu pale ni miujiza ! Mungu kamchapa kofi la usoni , amejaribu hata kuibinafsisha lakini nani anayetaka kujitwisha gunia la misumali ?
 
hongera , huku kwetu ni sheeeeewda
TOT ikipiga mahali hata kama kiingilio ni Azam cola , hakuna anayekuja ! Noma sana , hata maonyesho yenyewe wameacha kufanya , usicheze na nguvu ya umma mkuu .
 
Ndugu TAIRO mmiliki wa PENTAGON kurasini alionywa mapema kuhusiana na kuileta pale bendi ya Nape , VIJANA JAZZ , aliambiwa ataua bar yake lakini hakusikia , leo hii ukikuta wateja hata watatu pale ni miujiza ! Mungu kamchapa kofi la usoni , amejaribu hata kuibinafsisha lakini nani anayetaka kujitwisha gunia la misumali ?

watu wengine wamekuwa wabishi kuukubali ukweli
 
mm mwenzenu nna mtihan mkubwa sana, baba angu hajui kusoma wala kuandika, alishawahi kuwa balozi wa mtaa wa ccm hapo awali lakin nlimshauli baadae akaachana nao akawa ananiunga mkono ktk harakati za kuitokomeza ccm kijijin kwetu, chakushangaza nmerudi kutoka chuon nmekuta tena ccm wamemlaghai fikra kwa kumpa kofia na shati la kijan kubwa wakamrudisha tena kwenye ubalozi wa mtaa kupitia ccm, nliumia sana licha ya yy kunipa moyo kuwa wanamlazimisha mpaka na kumtolea vitisho na ha ktk uchaguzi hatachagua ccm, lkn nnamaswali mengi sana, najiuliza hawa ccm inakuwaje wanamlazimisha mtu kumpa ubalozi ilihali hajui ata kusoma wala kuandika? mpaka sasa najipanga kuikoa familia yangu ktk lindi la umsikin lilosababishwa na ccm niombeen ndugu zangu ili mzazi wangu nmwokoe kutoka ktk dimbwi la ccm.
 
nipo vizuri na jamii na ccm yangu sina dhiki kama za mtoa post

Nadhani makombo ya mafisadi yanakuweka mjini,huku kwetu rock city ni aibu kwa mtu timamu kuvaa tu yale marapurapu yenu ya kijani na lazima azomewe! Ni laana kubwa kuwa ccm
 
DAWA NI KUMPELEKA NGUMBARO , UTAFITI UNAONYESHA KWAMBA 90 PeRCENT YA WAJUMBE WA MASHINA YA CCM HAWAJUI KUSOMA NA KUANDIKA , NINAAMINI HUYO MZEE AKIJUA KUSOMA TU ATAJITAMBUA .
 
Nadhani makombo ya mafisadi yanakuweka mjini,huku kwetu rock city ni aibu kwa mtu timamu kuvaa tu yale marapurapu yenu ya kijani na lazima azomewe! Ni laana kubwa kuwa ccm

Kwi! Kwi! Kwiii!!! Hilo neno marapurapu limenikumbusha enzi ya chama kimoja , nguo ni kutoka URAFIKI au UBUNGO GARMENTS .
 
Huwezi kushindana na nguvu ya umma, watu wakiamua kukupandisha chati watakupandisha na wakiamua kukushusha wanakushusha tu ndio maneno ya watu wakati wakitoka kwenye fiesta pale diamond aliposhuhudia kwa mara ya kwanza akizomewa na mashabiki wake wakati mwenzake Ali kiba akishangiliwa kwa vifijo.

Timu ya ndanda imeingia katika mgogoro mkubwa na wananchi wa mtwara kwa sababu viongozi wake kuambatana na ccm ili hali wakijua fika kwamba ccm imejichimbia kaburi kutokana na sakata la gesi , Kundi maarufu la ze comedi la akina masanja limepoteza mvuto kwa sababu ya ccm , bar ya pentagoni kurasini imekufa kwa sababu ya bendi ya TOT kutumbuiza hapo,

timu ya majimaji ya songea imepotea baada ya wafanyabiashara kukataa kuchangia kutokana na ccm kuwa karibu na timu hiyo, wakati mwingine unaweza kujiuliza wapo wapi akina bushoke, na maswaiba wake akina chege , temba na afsa .

kuna baadhi ya maeneo hata ukiweka bendera tu ya ccm kwenye pikipiki yako watu hawapandi, kama una mgahawa ukiweka picha ya ccm watu hawaji kula hapo, imefikia hatua hata kama mtu unahitaji kuoa unakataliwa kama wewe ni ccm , hata kukopa tu kama wewe ni ccm unaambiwa nyie hamlipi .

Usishindane na nguvu ya umma , nguvu ya umma si mchezo .

Lol ! Mada yako kidogo initoe machozi. Da umesema kwelika kabisa. kusema kweli kuna mama mmoja mitaa ya kwetu ni mjumbe wa CCM. huyu mama akiwa anaenda kwenye mikutano yao, huvaa sare za CCM lakini siku za hivi karibuni akivaa sare hizo juu huvalia kanga na nyingine na kujitanda juu ili kuficha sare za CCM. Yaani CCM wamepoteza kabisa confidence. Inatia huruma aisee.
 
Kwenye kundi hili yupo ndugu yangu mmoja , nimemtengelea mbali , siwezi kukubali kudhalilishwa namna hii !

Umefanya jambo la maana sana mkuu....huyo anaweza akakuuza au kukutoa kafara.....hawa wenzetu wakishavaa manguo ya kijani ubinaadamu unawatoka wanakuwa mazombie.....
 
Alaa kumbe nguvu ya umma ni ya kujipanga kuzomeazomea???? halafu hakuzomewa diamond jubilee bali ilikuwa leaders club na waliomzomea walikuwa wamekodishwa na Ali Kiba na ndio maana pale mlimani city alifunika. Timu ya ndanda kufungwa ni soka na sio Uchadema....katika soka kuna kushinda na kushindwa au kutoa sare hayo yote ni matokeo ya uwanjani...kumbe kwako wewe wakishindwa basi ni CCM na wakishinda ni Chadema....ajabuuuuu...Ligera mzushi, muongo, mzandiki....fanya utafiti kwa mara nyingine utabaini ukweli...
Huwezi kushindana na nguvu ya umma, watu wakiamua kukupandisha chati watakupandisha na wakiamua kukushusha wanakushusha tu ndio maneno ya watu wakati wakitoka kwenye fiesta pale diamond aliposhuhudia kwa mara ya kwanza akizomewa na mashabiki wake wakati mwenzake Ali kiba akishangiliwa kwa vifijo.

Timu ya ndanda imeingia katika mgogoro mkubwa na wananchi wa mtwara kwa sababu viongozi wake kuambatana na ccm ili hali wakijua fika kwamba ccm imejichimbia kaburi kutokana na sakata la gesi , Kundi maarufu la ze comedi la akina masanja limepoteza mvuto kwa sababu ya ccm , bar ya pentagoni kurasini imekufa kwa sababu ya bendi ya TOT kutumbuiza hapo,

timu ya majimaji ya songea imepotea baada ya wafanyabiashara kukataa kuchangia kutokana na ccm kuwa karibu na timu hiyo, wakati mwingine unaweza kujiuliza wapo wapi akina bushoke, na maswaiba wake akina chege , temba na afsa .

kuna baadhi ya maeneo hata ukiweka bendera tu ya ccm kwenye pikipiki yako watu hawapandi, kama una mgahawa ukiweka picha ya ccm watu hawaji kula hapo, imefikia hatua hata kama mtu unahitaji kuoa unakataliwa kama wewe ni ccm , hata kukopa tu kama wewe ni ccm unaambiwa nyie hamlipi .

Usishindane na nguvu ya umma , nguvu ya umma si mchezo .
 
Pikipiki tano au kumi na bendera nyiiingiii.....linganisha na bodaboda za msafara wa mwana CCM yeyote ndipo utazunumza unachozungumza....kwanza watu wakiona bendera ya Chadema kwenye pikipiki hawapandi wanajua watakabwa njiani na peoples power vibaka
...

......ukiweka nembo ya chadema kwenye bodaboda wateja wanamiminika kama njugu !!!

DSC_0591.JPG
 
Ni ndoto za kibavicha hizo zinazoambatana na moshi mkali wa bangi na gongo la mama mamka.
Mnajaribu kujitekenya halafu mnajishangaa mnavyocheka!!!!!
karibuni TUSKER bariiiiiiiiidiiiiiii nipo hapa bar ya mwana UKAWA anaitwa URIO na wala sioni husuda kumuunga mkono kwenye biashara yake.
Wapimbav...... hawatapewa nafasi katika siasa za taifa hili takatifu. Kama jinsi tuwafanyiavyo mbwa majumbani kwetu, nanyi mtatupiwa majimbo machache na mitaa michache kwenye chaguzi ili mtingishe mikia kwa furaha. Wakati huo sisi TUNAPETAAAAA
 
Back
Top Bottom