Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Nimehadithiwa na mkazi mmoja wa Mtwara juu ya siri ya timu ya soka ya Ndanda FC kutofanya vyema katika michuano ya ligi kuu Tanzania Bara. Nimeambiwa kuwa wananchi wa Mtwara kwa sasa wameisusa timu hiyo na hivyo inayumba na kufanya vibaya. Nikapewa stori kuwa Ndanda FC ilishikwa na inaendelea kushikwa na viongozi walio na mafungamano na CCM.
Kutokana na CCM 'kuchukiwa' na wananchi wa Mtwara kutokana na masuala ya gesi,kitendo cha viongozi wa Ndanda FC kufungamana na CCM kimewafanya wananchi wa Mtwara 'kuichukia' timu hiyo. Ndiyo maana hata mahudhurio na hamasa ya wananchi wa Mtwara na viunga vyake vimepunga kwa kasi.
cc THE BIG SHOW