CHADEMA yaisambaratisha ngome ya CCM Bunda mjini

CHADEMA yaisambaratisha ngome ya CCM Bunda mjini

keteka

Senior Member
Joined
May 12, 2013
Posts
149
Reaction score
52
MH Dkt.Lucas Webiro: akiongea na wakazi wa Bunda Mjini kwa Nyakati tofauti tarehe15/08/2013 hadi 25/08/2013 kwenye ziara ya kujenga CHADEMA ni MSINGI ngazi ya Matawi na Mashina, alisema WanaBunda Tukumbuke hapa Tumefikishwa na watu wachoyo,wabinafsi,walionatamaa/Umimi na wasio waadilifu na sio mapenzi ya Mungu hatakidogo. Kwani Sehemu nyingi hapa Bunda Mjini Kata za Hunyari,kunzungu,Sazira,Mcharo,Nyasura na Guta zimekwisha anzisha taasisi au asasi za kijamii za maendeleo kwa ajili ya kuendeleza sehemu hizo kielimu, kiafya na kiuchumi Fedha zinazotolewa na wahisani na wadau maendeleo Duniani huishia mikononi wa makada wa CCM wa hapa Bunda Mjini, ambao mnawafahamu wapo tu hakuna shida wameifanya wilaya hii kama shamba la bibi wanauhusina wa karibu sana na Mh.Wasira, CHADEMA tunasema hata wafanyeje wote hawa ni wafungwa watarajiwa kwa matendo yao ya upolaji wa mali ya umma.Mfano Soko la kitalii tena kimataifa ambalo lipo kijiji cha Nyatwali Sehemu ya Seregeti kata ya Kunzungu zaidi ya Million 35 zimeliwa na Soko limekuwa kama pangala la wachungaji wa Ng’ombe wa Kata hii Fedha zilitolewa na TANAPA kama mchongo wao kwa Maendeleo ya Bunda Mjini.Amepokea wanachama wapya kama ifuatavyo:-Tamau [198] ,Nyatwali [350],Mariwanda [254] ,Kihumbu [302] Guta A [256] Mihale [263] Manyamanyama [406] hizi zote zilikuwa Ngome Kuu ya Magamba hapa Bunda Mjini.
 

Attachments

  • MH.DKT.WEBIRO L.jpg
    MH.DKT.WEBIRO L.jpg
    6.4 KB · Views: 528
mweli chadema ni Nyundo kubwa, inabomoa hata kichwa cha wenda wazimu CCM
 
Mkuu maandishi yanaumiza macho yaongeze kidogo

MH Dkt.Lucas Webiro: akiongea na wakazi wa Bunda Mjini kwa Nyakati tofauti tarehe15/08/2013 hadi 25/08/2013 kwenye ziara ya kujenga CHADEMA ni MSINGI ngazi ya Matawi na Mashina, alisema WanaBunda Tukumbuke hapa Tumefikishwa na watu wachoyo,wabinafsi,walionatamaa/Umimi na wasio waadilifu na sio mapenzi ya Mungu hatakidogo. Kwani Sehemu nyingi hapa Bunda Mjini Kata za Hunyari,kunzungu,Sazira,Mcharo ,Nyasura na Guta zimekwisha anzisha taasisi au asasi za kijamii za maendeleo kwa ajili ya kuendeleza sehemu hizo kielimu, kiafya na kiuchumi Fedha zinazotolewa na wahisani na wadau maendeleo Duniani huishia mikononi wa makada wa CCM wa hapa Bunda Mjini, ambao mnawafahamu wapo tu hakuna shida wameifanya wilaya hii kama shamba la bibi wanauhusina wa karibu sana na Mh.Wasira, CHADEMA tunasema hata wafanyeje wote hawa ni wafungwa watarajiwa kwa matendo yao ya upolaji wa mali ya umma.Mfano Soko la kitalii tena kimataifa ambalo lipo kijiji cha Nyatwali Sehemu ya Seregeti kata ya Kunzungu zaidi ya Million 35 zimeliwa na Soko limekuwa kama pangala la wachungaji wa Ng’ombe wa Kata hii Fedha zilitolewa na TANAPA kama mchongo wao kwa Maendeleo ya Bunda Mjini.Amepokea wanachama wapya kama ifuatavyo:-Tamau [198] ,Nyatwali [350],Mariwanda [254] ,Kihumbu [302] Guta A [256] Mihale [263] Manyamanyama [406] hizi zote zilikuwa Ngome Kuu ya Magamba hapa Bunda Mjini
 
Alluta Continua!Mzee wassira anasubiri msimu ufike amesinzia na huku Esther Bulawa nae kaapa kumg'oa mzee
 
Kumbe Masatu Wasira hana lolote , sasa ngoja atie mguu 2015 atakula za uso .
 
Alluta Continua!Mzee wassira anasubiri msimu ufike amesinzia na huku Esther Bulawa nae kaapa kumg'oa mzee
baba wa usingizi Bunge hana jipya kwa Bunda mjini.Easter hawezi huu moto wa CHADEMA bado sana.
 
Kumbe Masatu Wasira hana lolote , sasa ngoja atie mguu 2015 atakula za uso .
huyu steven masatu wasira alikataa watoto wake hadharani hawezi kuwapenda watu wa Bunda katika hali walio nayo.
 
Hongera ingia sasa vijijini vitongoji kitanda shuka kwa shuka na hata leso kwa leso
 
...tumeyagecha magamba,hakyanani kwisha kabsaaaa...!
 
huyu steven masatu wasira alikataa watoto wake hadharani hawezi kuwapenda watu wa Bunda katika hali walio nayo.

Mweto kanookokola mono ulibharanisha aumwene.
Nawe mumweze Wasira, alende kosabha ubhubhunge litabholibhu alagega.
Mubhulye Malogo wa Chadema.

Motakwisa kwa Tyson.
 
MH Dkt.Lucas Webiro:
akiongea na wakazi wa Bunda Mjini kwa Nyakati tofauti tarehe15/08/2013
hadi 25/08/2013 kwenye ziara ya kujenga CHADEMA ni MSINGI ngazi ya
Matawi na Mashina, alisema WanaBunda Tukumbuke hapa Tumefikishwa na watu
wachoyo,wabinafsi,walionatamaa/Umimi na wasio waadilifu na sio mapenzi
ya Mungu hatakidogo. Kwani Sehemu nyingi hapa Bunda Mjini Kata za
Hunyari,kunzungu,Sazira,Mcharo ,Nyasura na Guta zimekwisha anzisha
taasisi au asasi za kijamii za maendeleo kwa ajili ya kuendeleza sehemu
hizo kielimu, kiafya na kiuchumi Fedha zinazotolewa na wahisani na wadau
maendeleo Duniani huishia mikononi wa makada wa CCM wa hapa Bunda
Mjini, ambao mnawafahamu wapo tu hakuna shida wameifanya wilaya hii kama
shamba la bibi wanauhusina wa karibu sana na Mh.Wasira, CHADEMA
tunasema hata wafanyeje wote hawa ni wafungwa watarajiwa kwa matendo yao
ya upolaji wa mali ya umma.Mfano Soko la kitalii tena kimataifa ambalo
lipo kijiji cha Nyatwali Sehemu ya Seregeti kata ya Kunzungu zaidi ya
Million 35 zimeliwa na Soko limekuwa kama pangala la wachungaji wa
Ng’ombe wa Kata hii Fedha zilitolewa na TANAPA kama mchongo wao kwa
Maendeleo ya Bunda Mjini.Amepokea wanachama wapya kama ifuatavyo:-Tamau
[198] ,Nyatwali [350],Mariwanda [254] ,Kihumbu [302] Guta A [256] Mihale
[263] Manyamanyama [406] hizi zote zilikuwa Ngome Kuu ya Magamba hapa
Bunda Mjini

Kila la kheri Webiro,Bunda nawaelewa nimeishi nao,Bunda ilikosa tu wapiganaji,ukiteremka Musoma ndo home sisi jingajinga hatutaki,angalia kama ccm wapo!
 
Mweto kanookokola mono ulibharanisha aumwene.
Nawe mumweze Wasira, alende kosabha ubhubhunge litabholibhu alagega.
Mubhulye Malogo wa Chadema.

Motakwisa kwa Tyson.
mweto inye nilibeda lyabasizaki wasira atakosengelwa nawe webiro alasengelwa musiya na sizaki yosibu ambasizaki mbambulile yoyele nango
 

Attachments

  • Photo-0810.jpg
    Photo-0810.jpg
    140.2 KB · Views: 115
Mwangalieni alivyosimama utadhani hana miguu hafai kuwa kiongozi.
 
Historia ya huyu mtu ni mbaya hata uadilifu wake ni wa kutiliwa shaka.
 
Back
Top Bottom