Hii haisumbui mkuu, cha muhimu ni kile alichosema mwenyekiti Mbowe kuwa 2013 ni mwaka wa nguvu ya umma.Tuhakikishe tunapata tume huru na kuboresha daftari la wapiga kura.Hilo la kuhama wabunge halitakuwa na maana kwa tunahitaji wapiga kura wapya wenye mapenzi na cdm, daftari limejazwa upepo na ccm tukilisafisha upepo ule hawana pa kutokea.
Kiukweli viongozi na wanachama wa cdm huu ni wakati wa kushikamana pamoja. Ccm wanatamani sana kuivuruga cdm. Chama kilichobaki kikiisumbua ccm ni cdm basi.
Hayo uanyosema ni ----- tu, Chadema isha jimakiza yenyewe, kama unabisha, subiri ujionee, miaka mitano ijayo watabaki kama NCCR mageuzi, una kumbukumbu za vipi Mrema alikuwa? Utajaza mwenyewe.
Hayo uanyosema ni ----- tu, Chadema isha jimakiza yenyewe, kama unabisha, subiri ujionee, miaka mitano ijayo watabaki kama NCCR mageuzi, una kumbukumbu za vipi Mrema alikuwa? Utajaza mwenyewe.