CCM leo imefanya mkutano mkubwa wa Hadhara mjini Kahama na kutolea ufafanuzi Masuala mbalimbali ya msingi likiwemo Suala la mchakato wa Katiba mpya na Suala la vurugu za Bungeni zilizosababishwa na wabunge wa CHADEMA hivi karibuni.
Kasi ya Hii ya CCM ya kurejesha Imani kwa kasi kwa wanachama wao na wananchi kwa ujumla inaongozwa na Katibu Mkuu wake Kanali mstaafu Abdulrahiman Kinana na Nape Nnauye.
Kasi ya Hii ya CCM ya kurejesha Imani kwa kasi kwa wanachama wao na wananchi kwa ujumla inaongozwa na Katibu Mkuu wake Kanali mstaafu Abdulrahiman Kinana na Nape Nnauye.