CDM ni baba lao hata TBL wanalijua hilo ila sie hatuitaji zawadi kama mashabiki wa Yanga na Simba,CDM inakazi ya kukua,kujiandaa na kuchukua dora ili turudishe heshima ya nchi yetu,ili tuwalinde Tembo wetu waliosalia,ili tuwasaidie wananchi kuijenga nchi yao kwa kuwa wazalendo badala ya kutegemea misaada kila uchwao