CCM yaendelea kucheza ngoma ya CHADEMA bila kujijua!

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,634
Hali ya ccm na cdm hapa tz imeendelea kushika kazi baada ya chama cha mrengo wa kati kukichezesha ngoma chama cha kijani bila kujijua.ccm badala ya kufanya kazi kwa sababu ndio wenye dola wamekazania kujibu madai ya cdm kwenye majukwaa ya kisiasa huku cdm mtaji wao ukiendelea kuongezeka.chadema ni chama makini ndio maana wanatumia makosa ya ccm kupiga kampeni za 2015 huku ccm wakiendelea kucheza ngoma hiyo ya magwanda huku wamefunikwa macho bila kujua kwamba hizo ni kampeni za 2015 je ccm hailioni hili?
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,885
7,384
CDM ni baba lao hata TBL wanalijua hilo ila sie hatuitaji zawadi kama mashabiki wa Yanga na Simba,CDM inakazi ya kukua,kujiandaa na kuchukua dora ili turudishe heshima ya nchi yetu,ili tuwalinde Tembo wetu waliosalia,ili tuwasaidie wananchi kuijenga nchi yao kwa kuwa wazalendo badala ya kutegemea misaada kila uchwao
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom