CCM yabwagwa Iringa

marx

Member
May 2, 2011
69
14
Katika hari ya taharuki kwa wanaccm na viunga vyake hapa mkoani iringa. Jana zile kesi walizo fungua, zimeaza kutolewa hukumu moja baada ya moja. Wenyeviti wa chadema wanaendelea kuibuka washindi katika pingamizi hizo. Poleni sana wana ccm. Jaribuni kukubari kuwa mlishindwa. Kuliko aibu hii mnayoipata.
 
hizo hukumu zinatolewa alfajili hii
 
We pokea taarifa. Acha mihemuko yako iwe asubuhi au jioni.ccm bana mmeguswa sehemu mbaya eeee. Pokeeni tu hizo sindano si mlizitaka wenyewe. Mnapinga matokeo wakati hata evidence hamnazo poleni sana. Na bado. Kwa taarifa yako wiki nzima hii na ijayo hukumu zinaendelea kutolewa. Kila kukicha ccm chali wanabaki kubung'aa tu mahakamani. Kazi kwelijweli mwaka huu.
 
Back
Top Bottom