CCM yaanza kampeni Moshi mjini kwa kishindo

Huyu mosha anapesa za kuchezea
Japhary hata asipopiga kampeni babu akimbyoosha mkono tu,Tayari kapita.
 
CCM yaanza campaign Moshi wakati yule mama wa katiba ya chama alikuwa huko wiki iliyopita kwny campaign! Maajabu haya!
 
CCM yaanza campaign Moshi wakati yule mama wa katiba ya chama alikuwa huko wiki iliyopita kwny campaign! Maajabu haya!
Unaweweseka sana. Na bado: Moshi Mjini WASEMA bai bai UKAWA
 
Mr Chin bora umekuja kuongeza nguvu maana jf nzima kuna Id mbili tu zina support kufuli

Sasa huko moshi ccm imetoka wapi au umecopy watu sehemu ukawa pest hapo baadae kila mmoja na njia yake?

Ufafanuzi pls
 
Last edited by a moderator:
Mr Chin bora umekuja kuongeza nguvu maana jf nzima kuna Id mbili tu zina support kufuli

Sasa huko moshi ccm imetoka wapi au umecopy watu sehemu ukawa pest hapo baadae kila mmoja na njia yake?

Ufafanuzi pls
Moshi sasa waielewa namba ni CCM. Wamechoka kuimbishwa uchadema usio na mafanikio miaka nenda miaka rudi.
 
Kama kuna mwaka ambao CCM walidhamiria kwa hali na mali kutaka kulichukua jimbo la Moshi mjini basi ilikuwa 2010 lakini ndio mwaka ambao CCM ilishindwa vibaya sana pale kuanzia kura za Urais, Ubunge mpaka udiwani.

Yusuph Makamba, Steven Wassira na Kikwete wanaijua vizuri sana Moshi mjini, kilichowakuta 2010 pale Moshi mjini nina uhakika hawatakisahau maisha yao yote. Maana wa waliwekeza zaidi ya bilioni tatu za kampeni pale Moshi mjini, waliweka kambi rasmi ya kampeni ikiongozwa na katibu mkuu wa CCM wa wakati huo Yusuph Makamba, na kumtumia Steven Wassira kwa wiki tatu mfululizo katika jimbo moja tu la Moshi mjini, wakipita kila kata na kila mtaa, walitumia kila bar kuhonga watu bia, lakini wapi, hiyo kitu akawageukia wenyewe. Kura zikapungua kabisa badala ya kuongezeka.
 
Mgombea ubunge wa CCM wa Moshi mjini wa mwaka huu ni Davis Mosha, ndio mgombea ovyo kabisa kuwahi kuteuliwa kugombea ubunge na CCM pale Moshi. Mwaka jana inasemekana alikuja kugombea udiwani katika kata ya Kiboroloni baada ya diwani wa kata hii kwa tiketi ya CCM kufariki, kirichomtokea Davis Mosha hatakisahau, alikutana na moto mzito wa CHADEMA na kushindwa vibaya kabisa.
 
David Mosha kaamua kujipotezea muda wake bureeeeeeeeeeeeee
 
Moshi sasa waielewa namba ni CCM. Wamechoka kuimbishwa uchadema usio na mafanikio miaka nenda miaka rudi.

Unazungumzia Moshi ipi? CCM huku imekataliwa miaka mingi iliyopita ila kipindi cha uchaguzi tumefundishwa kuwa wakarimu kwa wageni (CCM) ili kuongeza mitaji yetu,mkitaka kutujua vizuri subiri tarehe 25 October.
 
Wazee pigeni hela zake na kura msimpe ana za kuchezea zimemzidi acha atoe misaada hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…