eti hatapokea mshahara. kwa nini uahidi uongo? mdee aliahidi akichaguliwa asiitwe mheshimiwa, akaitwa mheshimiwa hakukataa. ni muhimu watu wajue kwa nini unataka uongozi na wakuamini sio kufanya ulaghai.
Unaomba kura kwa watu wa moshi mjini unachukuwa watu kutoka wilaya ya Hai kwa kaka mbowe utegemeye kushinda hakika hizi ni ndoto za machana watu wamoshi hawakatai pesa ndio watu wa kwanza Tanzania kudhubutu kula pesa na kunyima watu kura!
hahahahahahaha aiseeeee nadhani hata wenyewe huwaga wanajicheka hahahahaha
Unaomba kura kwa watu wa moshi mjini unachukuwa watu kutoka wilaya ya Hai kwa kaka mbowe utegemeye kushinda hakika hizi ni ndoto za machana watu wamoshi hawakatai pesa ndio watu wa kwanza Tanzania kudhubutu kula pesa na kunyima watu kura!
wapo ccm jina mkuu ukiwapa pesa wanakuwa ccm na bendera wameweka kwenye nyumba zao ila kura ni ukawa ndugu nina wajuwa wengi sana huwa hawa tabia ya kukataa pesa!Mkuu kwani Hai kwa Mbowe kuna ccm teh teh teh
wapo ccm jina mkuu ukiwapa pesa wanakuwa ccm na bendera wameweka kwenye nyumba zao ila kura ni ukawa ndugu nina wajuwa wengi sana huwa hawa tabia ya kukataa pesa!