CCM Yaanza Kampeni Moshi Mjini kwa kishindo

Mr Chin

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,625
1,024
11951286_512711108884304_5799566474973471472_n.jpg
11960268_512711132217635_3124698794716539683_n.jpg
11986605_512711238884291_1279839680686899516_n.jpg
 
Unaomba kura kwa watu wa moshi mjini unachukuwa watu kutoka wilaya ya Hai kwa kaka mbowe utegemeye kushinda hakika hizi ni ndoto za machana watu wamoshi hawakatai pesa ndio watu wa kwanza Tanzania kudhubutu kula pesa na kunyima watu kura!
 
Hivi Mbona CCM mikutano yao wanaweka viti kama mikutano ya injili alafu wahudhuriaji wote wamevaa sare?
Ina maana wahudhuriaji wameandaliwa wote na hakuna asiye mwanachama wa CCM wala ambaye hajaandaliwa.
 
Kama Kura Wangekuwa Wanazipiga Wanachama Wa Vyama vya SiaSa Pekee, Kuitoa CCM Ingetuchukua Miaka Mingine Mia

Moja; Lakini Kwa Bahati Nzuri Na Tusiokuwa Na vyama tunamchagua Rais, Hiyo Safari ya SiSiem Kung'oka Iko pale Pale

Mwaka Huu.
 
eti hatapokea mshahara. kwa nini uahidi uongo? mdee aliahidi akichaguliwa asiitwe mheshimiwa, akaitwa mheshimiwa hakukataa. ni muhimu watu wajue kwa nini unataka uongozi na wakuamini sio kufanya ulaghai.
 
Unaomba kura kwa watu wa moshi mjini unachukuwa watu kutoka wilaya ya Hai kwa kaka mbowe utegemeye kushinda hakika hizi ni ndoto za machana watu wamoshi hawakatai pesa ndio watu wa kwanza Tanzania kudhubutu kula pesa na kunyima watu kura!

Hahahahahahaha aiseeeee nadhani hata wenyewe huwaga wanajicheka hahahahaha
 
hahahahahahaha aiseeeee nadhani hata wenyewe huwaga wanajicheka hahahahaha

jamani si huwa tuanaminishwa hapa jukwaani na madodoki kuwa hakuna wana ccm moshi, sasa haya mafuriko yametokea wapi au sio wachaga hao?
 
Unaomba kura kwa watu wa moshi mjini unachukuwa watu kutoka wilaya ya Hai kwa kaka mbowe utegemeye kushinda hakika hizi ni ndoto za machana watu wamoshi hawakatai pesa ndio watu wa kwanza Tanzania kudhubutu kula pesa na kunyima watu kura!

Mkuu kwani Hai kwa Mbowe kuna ccm teh teh teh
 
Mkuu kwani Hai kwa Mbowe kuna ccm teh teh teh
wapo ccm jina mkuu ukiwapa pesa wanakuwa ccm na bendera wameweka kwenye nyumba zao ila kura ni ukawa ndugu nina wajuwa wengi sana huwa hawa tabia ya kukataa pesa!
 
wapo ccm jina mkuu ukiwapa pesa wanakuwa ccm na bendera wameweka kwenye nyumba zao ila kura ni ukawa ndugu nina wajuwa wengi sana huwa hawa tabia ya kukataa pesa!

Kumbe chadema unafik ni jadi yetu basi hakuna haja ya kumtukana Slaa.
 
Siku zinavyoendelea kuyoyoma mambo yanaendelea kuwa sehemu yake na watu watadondokea pua kama kawa maana walikua hawajui wanapambana na nguvu zipi, watu wanachokifanya ni mahesabu makubwa tu, tusije tukalalamika tu kura zimeibiwa sijui nini na nini "kulikuwa na nyomi na kadhalika"
 
Alisema tutawanyoosha, alisema watanyooka tu........watashinda kwa kishindo
 
Back
Top Bottom