Wanabodi,
Kuna ndugu yangu amenipigia simu eti anadai huko Ifakara, Tume imewataka wapigakura kutotiki against jina la mgombea bali wanatakiwa kila mpigakura aandike jina sahihi la mgombea wa chama chake, na watakaoshindwa kuandika, wasimamizi wa uchaguzi wamepewa maagizo ya nini cha kufanya.
Je huu si Ubakaji wa demokrasia?
Je huko kwingine nako hali iko hivi?
Naomba kiwasilisha.

Anadhani akili zake ndogo ni sawa na za wengine!!!Hayo mambo ya hearsay toa hapa.
---- la buku saba lipo kazini. Hutaki sikia loloteAnadhani akili zake ndogo ni sawa na za wengine!!!
Mwenyezi Mungu aepushie mbali lakini kuna kila dalili damu itamwagika kesho.Wanabodi,