Hujakosea mkuu Taaluma Makini, CHADEMA ni chama cha watu wa Moshi/Kilimanjaro.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hivi kuna mtu mwenye akili aliyebaki CCM?
Kada wa ccm bulembo amesema maandamano ya Chadema yaanzie kilimanjaro kwanza!amesema kila maandamano hayafanyiki kilimanjaro bali sehemu zingine.na waziri na naibu wa elimu hawajiuzulu kamwe
Majura Burembo bana.
Nimeshituka sana kwakweli sikutegemea kama jamaa huyu angeongea maneno ya ajabu na uchochezi waziwazi kiasi hiki!!!Ccm inawachukia wachaga,inawanyanyasa wachaga,inawadharau na kuwabagua wachaga!!!Wapi Saidi Mwema,wapi chagonja huu sio uchochezi wa kustahili kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya uchochezi?Kwamba wachaga ni adui wa Ccm sasa mbona mwenyekiti Jakaya Kikwete hamfukuzi huyu kwenye chama au kamtuma...No ndo msimamo wa Ccm hii ni hatari nimeogopa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaaKwakweli nimeshangazwa na ile kauli. Af tukisema hata udini ni wao ndio chanzo wanabisha na hapa wanazungumza habari za program ya maendeleo ya wachaga. Hana haya huyu??
Hivi punde nimemsikia m/kiti wa jumuiya ya wazazi CCM alihaji Majura Bulembo akidai kuwa maandamano yaliyotangwaza na CDM kufanyika ktk miji minne tar. 25 mwezi huu kudai kujiuzulu waziri wa elimu yanapaswa kuanzia Moshi. Kwa maelezo kuwa huko ndiko kwenye watoto na jamaa za wana-CDM. Badala yake eti maandamano yametajwa kufanyika katika miji mingine ili watoto na jamaa zao(wana - CDM) wasipate madhara. Je ni sahihi Bulembo kuitaja CDM kama chama watu wa Moshi? Nijuavyo mimi CDM ni cha watanzania wengi ktk mikoa yote ya Tz. Wanajamvi naomba kusahihishwa endapo nimekosea. Source: taarifa ya habari ITV
Kada wa ccm bulembo amesema maandamano ya Chadema yaanzie kilimanjaro kwanza!amesema kila maandamano hayafanyiki kilimanjaro bali sehemu zingine.na waziri na naibu wa elimu hawajiuzulu kamwe
Hivi kuna mtu mwenye akili aliyebaki CCM?
Nimelisikia hilo jamaa nikataka kurusha ngumi kumbe ni TV......hivi mtu mzima mwenye akili timamu unawezaje kusema hivyo.......kwamba maandamano hayawezi kufanyika Kilimanjaro maana familia zao zipo huko........kwa hiyo wote waliopo CDM ni wachagga nchi nzima?..........jamaa pumbavu kweli......CCM ina mabongolala yakutosha......****$¥+.....