Nape anaongea sasa hivi na Watanzania wa Houston hapa. Chadema walitaka kuutumia mkutano wetu ambao unalengo zuri la kujenga nchi yetu wakajikuta wapo wawili tu. Tunashukuru kikao kinaenda vizuri mambo ya siasa yameisha watu wanachangia vizuri na Watanzania waliochangia mpaka sasa wanajenga hoja nzuri sana za kuijenga nchi. Nitaendelea kuwajuza kila kinachoendelea.
Kumbe kelele zote wapo wawili tu
Hapa naamini kumbe Nape anakubalika

Siamini hao jamaa wako marekani! Na kama kweli wapo na wanongea ushuzi hivo basi kuwepo kwao marekani hakujawabadilisha akili mgando. Sasa mnachoshangilia hapo nini? Mnashindwa hata kujua ni nini kilichomleta nape hapo? Nilijua ukitoka nje ya nchi mawazo yanatanuka kumbe no. Mie niko us na Sina chama chochote pale home lakini nakerwa sana na jinsi ccm inavyowafanya watanzania wenzetu mazezeta. Huyo huyo nape amekuwa anafanya mikutano anaishia kuwataukana watu then ninyi mnaomba Tanzania iwe na mtu kama huyo. Shame on you all! Kuleni kodi zetu lakini ipo siku mtazirudisha. Nimeudhika sana kusikia mnatoa maoni utadhani mko shimoni.
sasa mkutano wa CCM chadema wafate nini?Nape anaongea sasa hivi na Watanzania wa Houston hapa. Chadema walitaka kuutumia mkutano wetu ambao unalengo zuri la kujenga nchi yetu wakajikuta wapo wawili tu. Tunashukuru kikao kinaenda vizuri mambo ya siasa yameisha watu wanachangia vizuri na Watanzania waliochangia mpaka sasa wanajenga hoja nzuri sana za kuijenga nchi. Nitaendelea kuwajuza kila kinachoendelea.
Jamani mliopo hapo tuambiani mkutano unaendeleje?
Tatizo lenu ni utoto, kujishuku kila kona, you try to use nuclear bomb even where you just need a stick to win people!! Mi niko ughaibuni na ni chadema damu damu, lakini yanapokuja masuala ya kitaifa siwezi kufanya upuuzi wa kujiona ni bora au mwenye haki hata kama kuna kauli au dalili za kutaka kuonyeshana nani zaidi. Jaribuni kujioni Watanzania mnapokuwa kwenye sehemu kama hizo siyo kujiona CCM na CDM kila wakati.
Hujasema full stori ilikuwaje, how do we know that they wanted to overlap your meeting, pengine zilikuwa ni challenges za kawaida kabisa ila mkachukulia wanataka kupambana na CCM. Teh teh teh teh!!
Its simple logic and easy to implement!!
Hapa naamini kumbe Nape anakubalika
Wamezidi hao tatizo lao kila siku wanafikiri ni kampeni za uchaguzi. Watapata shida sana kwa Nape the guy ni smart sana kabla sijamsikiliza nilidhani ni wale wale wa CCM. Lakini anajenga hoja vizuri na anachokisema ni ukweli mtupu. Kama kweli CCM ya sasa ndo hii ya akina nape hakika tutafika anakiri pale waliposhindwa na kinachonifurahisha zaidi anatoa suluhu kwa yale yanayowezekana.

Jamaa anaongelea Ugumu wa Maisha Tanzania
Nape anaongea sasa hivi na Watanzania wa Houston hapa. Chadema walitaka kuutumia mkutano wetu ambao unalengo zuri la kujenga nchi yetu wakajikuta wapo wawili tu. Tunashukuru kikao kinaenda vizuri mambo ya siasa yameisha watu wanachangia vizuri na Watanzania waliochangia mpaka sasa wanajenga hoja nzuri sana za kuijenga nchi. Nitaendelea kuwajuza kila kinachoendelea.
Ngoma inogile piga kote kote tunapiga angani aridhini majini ughaubuni, hawatuwezi hao. Hao wataliweza dudu kubwa kama CCM chama kubwa duniani linalongoza kwa wanachama wengi na mfumo madhubuti.
Wazazi wao ndio waliowapeleka huko USA, na Nape katumwa akawasalimie, si ajabu na kuwapelekea hela za matumizi.box boys bwana!!!! Mnaongea kuijenga Tz wakati kipato chenu kinaishia USA mnashindwa hata kuwatumia hela ya vocha ya simu wazazi wenu.
mtu huyu ni tatizo huyuni mtu wa ccm sie chadema tuende kufanya nini kwenye mkutano wa ambao angefanya na madiwani wake wa ccm huko tanzania.sisi tukomarekani kwa ajili ya njaa iliyosababishwa na ccm miaka 50 iliyopita ,nitakuwa na mchango gani wa kuijenga nchi yangu wakatikipato ninachopata cha kufagia bucha za nyama chote ninalipia gharama za maisha ya huku,huyu mwenzetu nadhani hawa wamo kwenye payroll ya kula kulala ubalozini.raisi wao wa ccm ni tatizo alivyokuja hapa anawachongea watanzania kwamba sisi tukiwatumia fedha nyie ili mtutafutie viwanja mnakula sasa tuanze kupitishia wizara ya mabo ya nje,we mwache atapitishiwa hata hela za madawa ya kulevya ndo atashika adabu sasa mie na akili yangu nikasikilize hilo vuvuzela bora nikatafute bucha nyingine ya kupiga deki leo.nape anaongea sasa hivi na watanzania wa houston hapa. Chadema walitaka kuutumia mkutano wetu ambao unalengo zuri la kujenga nchi yetu wakajikuta wapo wawili tu. Tunashukuru kikao kinaenda vizuri mambo ya siasa yameisha watu wanachangia vizuri na watanzania waliochangia mpaka sasa wanajenga hoja nzuri sana za kuijenga nchi. Nitaendelea kuwajuza kila kinachoendelea.