TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,077
Yaani kuna watu bado wako Marekani lakini mawazo yao ni yakijinga kama huyu jamaa aliyeleta hii topic, Eti CHADEMA walitaka kuharibu mkutano wao... huyu jamaa ajiulizi miaka 50 yote ya uhuru bado mnajenga!
Huku kutukuza tukuza marekani ndo kunasababisha wamarekani waje wapore ardhi yetu na kutuacha wananchi hatuna la kufanya huku baadhi yetu wakishangilia "wamarekanai welevu welevu eeeh ....!!"