CCM wawatikisa CHADEMA Houston wajikuta wapo wawili tu mkutanoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wawatikisa CHADEMA Houston wajikuta wapo wawili tu mkutanoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mikole007, Oct 30, 2011.

 1. M

  Mikole007 Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nape anaongea sasa hivi na Watanzania wa Houston hapa. Chadema walitaka kuutumia mkutano wetu ambao unalengo zuri la kujenga nchi yetu wakajikuta wapo wawili tu. Tunashukuru kikao kinaenda vizuri mambo ya siasa yameisha watu wanachangia vizuri na Watanzania waliochangia mpaka sasa wanajenga hoja nzuri sana za kuijenga nchi. Nitaendelea kuwajuza kila kinachoendelea.
   
 2. s

  suley Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hebu tujuze ndugu kaingia lini huko? Vipi kaongelea nini?
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,845
  Trophy Points: 280
  watoto wa mafisadi.
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  [​IMG]

  Huu ndio mtikiso wa CCM kwa Chadema? Ni afadhali unapoleta mada lete na dondoo au taswiras inayotetea hoja yako, vinginevyo unachoongelea hapa ni kitu kipo hewani ambacho hakina maudhui ya kuweleweka kujadili, na haina kiwango chenye mvuto wa kujadili.
   
 5. N

  Nipe tano Senior Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe kelele zote wapo wawili tu
   
 6. N

  Nipe tano Senior Member

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa naamini kumbe Nape anakubalika
   
 7. N

  Nipe tano Senior Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mliopo hapo tuambiani mkutano unaendeleje?
   
 8. z

  zamwamwa Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nipo hapa kila Mtu kimya wanamsiliza Nape
   
 9. z

  zamwamwa Member

  #9
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wamezidi hao tatizo lao kila siku wanafikiri ni kampeni za uchaguzi. Watapata shida sana kwa Nape the guy ni smart sana kabla sijamsikiliza nilidhani ni wale wale wa CCM. Lakini anajenga hoja vizuri na anachokisema ni ukweli mtupu. Kama kweli CCM ya sasa ndo hii ya akina nape hakika tutafika anakiri pale waliposhindwa na kinachonifurahisha zaidi anatoa suluhu kwa yale yanayowezekana.
   
 10. z

  zamwamwa Member

  #10
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa anaongelea Ugumu wa Maisha Tanzania
   
 11. l

  lumumba the son Senior Member

  #11
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ngoma inogile piga kote kote tunapiga angani aridhini majini ughaubuni, hawatuwezi hao. Hao wataliweza dudu kubwa kama CCM chama kubwa duniani linalongoza kwa wanachama wengi na mfumo madhubuti.
   
 12. z

  zamwamwa Member

  #12
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani huyu jamaa sio mchezo sio kama hawa CCM tuliowazoea, hiki chama kikipata vijana watano kama hawa CCM itafika mbali sana
   
 13. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Mikole007
  Today 03:46
  #1 [​IMG]

  [​IMG]Member[​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]


  Join Date : 16th June 2011
  Posts : 10

  Rep Power : 0
  [​IMG] Nipe tano
  Today 03:58
  #7 [​IMG]

  [​IMG]Senior Member[​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]


  Join Date : 16th June 2011
  Posts : 58

  Rep Power : 21
  [​IMG] zamwamwa
  Today 04:07
  #10 [​IMG]

  [​IMG]Member[​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]


  Join Date : 16th June 2011
  Posts : 11

  Rep Power : 0


  Kweli nape amewaweza,hata join date yenu humu ina mana ni siku moja???kweli nape yuko kazini.   
 14. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 15. M

  Mikole007 Member

  #15
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pigana kijana jenga chama chetu sisi tupo nyuma yenu. Mwaka huu tumewakamata pabaya wataisoma namba.
   
 16. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,177
  Likes Received: 1,182
  Trophy Points: 280
  Hawa wanajitambua kweli? Mnaposema yuko smart mnamaanisha usmart wa nguo alizovaa? Angalieni utendaji wa chama anachoongnoza hapa nyumbani
   
 17. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  walioudhuria wote watoto wa mafisadi ili waendelee kula kodi ya maskini wa kitanzania
   
 18. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Tatizo lenu ni utoto, kujishuku kila kona, you try to use nuclear bomb even where you just need a stick to win people!! Mi niko ughaibuni na ni chadema damu damu, lakini yanapokuja masuala ya kitaifa siwezi kufanya upuuzi wa kujiona ni bora au mwenye haki hata kama kuna kauli au dalili za kutaka kuonyeshana nani zaidi. Jaribuni kujioni Watanzania mnapokuwa kwenye sehemu kama hizo siyo kujiona CCM na CDM kila wakati.

  Hujasema full stori ilikuwaje, how do we know that they wanted to overlap your meeting, pengine zilikuwa ni challenges za kawaida kabisa ila mkachukulia wanataka kupambana na CCM. Teh teh teh teh!!

  Its simple logic and easy to implement!!
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  i wish ungekua hata umejiandikisha kupiga kura basi...

  Papers za kurudi bongo huna uko bizeeee kushangilia decaf kikaoni
   
 20. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  box boys bwana!!!! Mnaongea kuijenga Tz wakati kipato chenu kinaishia USA mnashindwa hata kuwatumia hela ya vocha ya simu wazazi wenu.
   
Loading...