CCM wavamia uchaguzi chuo kikuu SAUT

CCM wavamia uchaguzi chuo kikuu SAUT

kwa mara ya kwanza naungana nawe, hawa watoto niwapumbavu kweli kweli. badala wakazane kusoma wamekazania siasa.
vikivunja sheria za chuo na kufukuzwa vinakuja kulalamika humu. nyie watoto ndo kwanza mnatafuta elimu, hiyo ccm ilikuwape na chadema kama wewe ni mwaka wa pili degree si ajabu ulikuwa hujazaliwa pia, utavikuta tu. MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI.
zingatieni masomo watoto. achaneni na siasa. hizo zipo tu. umezikuta utaziacha.
 
Kwa mfumo wa siasa wa nchi yetu kamwe haiwezi kuepukika siasa vyuoni kwa sababu ya vyama vingi na mitazamo tofauti. Zamani ilikuwa chama kimoja hivyo wanavyuo hawakuwa na option ya kuchagua vyama bali CCM tu. Wanavyuo waachwe huru kufanya chaguzi zao na kuwachagua wanawaona wanafaa kuwaongozd.
 
kwa mara ya kwanza naungana nawe, hawa watoto niwapumbavu kweli kweli. badala wakazane kusoma wamekazania siasa.
vikivunja sheria za chuo na kufukuzwa vinakuja kulalamika humu. nyie watoto ndo kwanza mnatafuta elimu, hiyo ccm ilikuwape na chadema kama wewe ni mwaka wa pili degree si ajabu ulikuwa hujazaliwa pia, utavikuta tu. mnakimbilia wapi? achaneni na akina lema wanawapoteza hao. wao wanamaisha yao, wewe ukifukuzwa/UKIFELI leo ndo imekula kwako.YAZINGATIENI HAYA.

Kaka una akili sana mpaka zinapindukia lakini kwa kuweza kunionyesha ni wapi /Kipengele gani kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM inaonyesha wataenda kusimamia uchaguzi wa serikali za wanavyuo?
 
Kwa mara ya mwisho natofautiana na nyinyi...kwanza naomba ufuatilie hotuba ya Nyerere kuhusu dhima kuu ya kuanzisha UDSM....Unapowakataza siasa...do you really know the meaning of politics??? Nchi inahitaji vitu gani vile??
Kuna wanaochukua political science pia...Dont try to smother our young students...they have to start from now....!
 
kwa mara ya kwanza naungana nawe, hawa watoto niwapumbavu kweli kweli. badala wakazane kusoma wamekazania siasa.
vikivunja sheria za chuo na kufukuzwa vinakuja kulalamika humu. nyie watoto ndo kwanza mnatafuta elimu, hiyo ccm ilikuwape na chadema kama wewe ni mwaka wa pili degree si ajabu ulikuwa hujazaliwa pia, utavikuta tu. mnakimbilia wapi? achaneni na akina lema wanawapoteza hao. wao wanamaisha yao, wewe ukifukuzwa/UKIFELI leo ndo imekula kwako.YAZINGATIENI HAYA.

Ndugu akili zako ni ndogo kulko hawa wanafunzi,wenda hujaelewa kazi za serikali za vyuo vikuu au unadumisha ujinga wa ccm kuwa wanafunz waachane na siasa wakati wao hawataki kufanya kazi zinazolingana na taaruma zao bali wanakimbilia kwenye siasa make ndimo wanaficha maovu yote,watu hawa ni wanafki sana.
 
zingatieni masomo watoto. achaneni na siasa. hizo zipo tu. umezikuta utaziacha.

Mbona mnaibisha mbele ya jamii...waache siasa maana yake nini?? waache kuchagua viongozi wao?? kwa nini kuna serikali ya wanafunzi?
Mie nimeshiriki siasa chuoni...nimewahi kuwa waziri wa fedha serikali ya wanafunzi...na matokeo yangu ni superb..even students who we were contemporary at university know this...
Why do you want to instill your fearful thoughts to our revolutionaries?
 
kweli wewe ni taahira na kama ni sehemu ya hao wanafunzi basi hicho chuo kinachukua special students, kwani hufai kuwa kwenye vyuo vya kawaida.
nikitaja lema huo ni mfano tu anaweza kuwa zitto, mnyika, slaa na hata kikwete. wote hao ni wanasiasa. kuweni makini nao, msijetumika kama ndoms na kuishia kutupwa mwisho wa kazi.
huoni ludo amekanwa kabisa na slaa pamoja na kuwa yeye ndo aliyemwita kutoka kigoma ambapa alienda kuripoti kwa ajili ya kuanza kazi ya kufundisha lakini sasa slaa anasema hamfahamu kabisa? fikiria we dogo.

Kamkana kwa sababu ya siasa chafu,usaliti ndio umemponza,asingekuwa na tamaa yasingemkuta.siasa is part of life ndugu,usipotoshe hata jk alipelekwa chuoni kueneza siasa na fikra za chama.acha kuwa muoga wa maisha,wangapi wanapeta bila hayo madigiri yenu? Maisha ni komborela unaweza ukawa na masters lakini bado ukapigwa bao kimaisha na form four.vijana wa saut kazeni buti.
 
Watoto someni acheni siasa

mimi kauli hizi za kishetani nimekuwa nikizipinga sana ...siasa ni moja kati ya kozi wanayosoma halafu waiache,.....vipi ,je na mwalimu anayeenda field na yeye aache au? ...hofu ya watawala uchwara bwana!!!!!!!!!!
 
Wakuu kwanza naomba nianze kwa kumpongeza Mgaya,nami niliambiwa nainsider wangu wa hapo SAUT kuwa kulikuwa na mpango mkubwa sana wa kihujumu CDM SAUT kama sikosei nilishaleta uzi huo,hujuma zilianza mwishoni mwa mwaka jana paleCDM tawi la SAUT walipzuiwa kufanya vikao vya ndanimaeneo yanayopakana na Chuo,hilo lilipoonekana kuitikisa CDM SAUT wakaja na lingine la kupiga marufuku kwubandika matangazo ya wito wa vikao mbalili vya vyama vyote vya nje ya chuo bt mlengwa akiwa ni CDMSAUT coz ndo anaimpact kubwa kuliko magamba(hawakuwa na cha kupoteza)kwa madai kwamba CCM na CDMSAUT wanabifu kali linalohatrisha amani ya chuo.
kwa juhudi kubwa za mwenyekiti wao wa tawi ndugu Patrobasi Pascal ambae kitaaluma nimwanasheria na akiendelea kumalizia masters yake na rais wa chuo anaemaliza mda wake ambae pia ni katibu mwenezi wa tawi zamani ndugu GodListern Malisa,waliweza kupeleka hoja zenye tija kwa mlezi wa wanafunzi na kufanikiwa kulejesha taratibu ya zamani,kimsingi kuna mipango mingi inayopangwa na kuratibiwa na Magamba mfano ni sheria mpy ya mavazi chuoni hapo ambayo pamoja na mambo mengine imelenga uvaaji wa jezi na nguo za vyama vya siasa .hapa tena walengwa ni CDMSAUT kwani unaambiwa SAUT ukifika asilimia 85% wanavaa magwanda na hii imekuwa inawauma sana CCM kama vile mwanamke aliyepitisha siku za kujifungua na hana uchungu,hili la mavazi limeshindikana kutimizwa kwa sasa kutokana na Uwepo wa makamu mkuu wa chuo ndugu Charles Kitima na rais wa sasa bwana Malisa hawa wamekuwa hawaungi hoja zozozte zenye mwelekeo wa kimagamba na hili wameliacha kipolo ili makamu wa chuo anayemaliza mda wake mwezi wa 6 aondoke na rais wa chuo.
tarehe 8 /1 CCMSAUT walifanya mkutano na Nkamia,then tarehe 22 /2 na waziri mmoja wa serikali ya JK hotel ya GoldenCrest na moja ya mipango iliyafikiwa ni ili waweze kupenyeza mtu wao ni lazima wamnunue mtu kutoka ndani ya CDM tawi then wamsapoti kifedha bt soon akishinda atangaze kujiunga na CCM bt mpango huo ulibuma kutokana na kamanda waliyemtumia alijulikana na uongozi tawi na akajisalimisha na kuwazuga kwa kuchukua fom,hilo baada ya kushindikana wakawaagiza vijana wao wengi wachukue form hata kama wahana uwezo wa kifedha na hoja kwa mdai ya chama kuwasimamia,hata hilo nalo lililpoonekana kushindwa wakahamia kwa viongozi wa baraza la viongozi wa chuo na huko miongoni mwa majina 4 yaliyobakizwa na tume yalipaswa yarudi 2 na CCM baada ya kupenyeza fedha kwa baadhi ya wahadhili hasa watu walioko nyuma ya Cooparate council ili wampitishe mtu wao hata kama hana sifa,kwa bahati mbaya iliyotokea ni kwamba hawakuwaonesha huyo mtu ama kwa neema za Mungu wajumbe wa seneta walijichanganya na kuwapitisha watu 2 ambao si tu kwamba hawawataki bali nia wanaharakati wanaowapingagamagamba hadharani na ni watajwa hapo juu,baada ya kugundua wamebugi ndipo walipowaambia mgamba wazuge kukata Rufaa ili mchakato urudiwe na tume ivunjwe kwa leo ni hayo tu,by the way pia kuna tetesitetesi kuwa magamba wanakwamisha mambo ya SAUT ili rais aonekani hafai mfano ni suala la ucheweleshwaji wa mikopo na kuongezeka kiwango cha faini toka elfu kumi,laki moja na sasa laki na nusu

  • :yo:

kwa mara ya kwanza naungana nawe, hawa watoto niwapumbavu kweli kweli. badala wakazane kusoma wamekazania siasa.
vikivunja sheria za chuo na kufukuzwa vinakuja kulalamika humu. nyie watoto ndo kwanza mnatafuta elimu, hiyo ccm ilikuwape na chadema kama wewe ni mwaka wa pili degree si ajabu ulikuwa hujazaliwa pia, utavikuta tu. mnakimbilia wapi? achaneni na akina lema wanawapoteza hao. wao wanamaisha yao, wewe ukifukuzwa/UKIFELI leo ndo imekula kwako.YAZINGATIENI HAYA.

Ndugu yangu ni vigumu kwasababu serikali ndiyo inayopeleka siasa vyuoni na kwenye majeshi. Ukiona wanakemea ujue wanakemea wanafunzi wanaokuwa upande wa upinzani. Sasa hivi unajua kuna mkoa maalumu wa CCM unaoitwa mkoa wa vyuo vikuu? Kwa maneno wanasema ni marufuku siasa vyuoni lakini kwa vitendo wanapeleka siasa vyuoni. Angalia chaguzi zote za viongozi wa vyuo jinsi viongozi wa serikali wanavyohangaika kuweka watu wao kwa ajili ya kulinda maslahi yao.
 
Watoto someni acheni siasa

..kwani siasa sio somo, we wawapi ? komaeni mpaka kieleweke, wakileta masilala wapeni kichapo cha maana wakome kuingilia kazi za msingi za ujenzi wa taifa ...
 
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha mtakatifu Agustino cha Mwanza na nasoma shahada ya ualimu mwaka wa pili... Leo tarehe 5/04/2013 ndio tarehe tulitakiwa kufanya uchaguzi kwa maana ya wabunge, na pia Urais cha kusikitisha ni kwamba Majina yaliyopitishwa na Senate ya wagombea wawili ambao walipaswa kuchuana leo ambao ni KIMENYI DAMAS anaesoma Sheria mwaka wa pili na Donavani Mcheshi anaesoma shahada ya Mahusiano ya umma (PR) wamewekewa pingamizi na kijana aliewekwa na C.C.M kwa jina la PETER JOHN BEGER ikiwa ni mpango wa chama hicho kuhakikisha ya kwamba Marais wa vyuo vikuu vyote wanakua wanaCCM ili kuwapa ahueni ya matamko yanayokemea maovu yao.

Na pingamizi waliloweka kwanza kwamba tume ya uchaguzi imeundwa na CHADEMA.

2. Wagombea ni wa CHADEMA kwamba wataleta mgomo
3.kwamba Tume iundwe ambayo ni huru.

Mpango huo wakuwasimika maraisi wa C.C.M ulijulikana baada ya Mbunge Juma Nkamia kuzungumza na wanachama wa C.C.M tawi la SAUT mnamo tarehe 08/01/2013 na kweli tunaona kama wanafanikiwa ni hayo tu wapendwa ndugu wana Jamii....

Hicho siyo chuo cha Serikali kwa nini Mbunge aigilie?Ni kiasi cha kumkataa hata huyo mgombea na mumchague mgombea mnayemtaka.
 
Walishazoea mfumoccm na wanafikiri siku zote itakuwa hivyo. Badilikeni ndugu zangu wanaccm. Siasa haziko static as the life is not. Mabadiriko ni razma na hayaepupikiki kwa njia yoyote ile. Hata hivyo njia sahiihi ni ile ya kupitia amani if not...
 
Back
Top Bottom