Amewaambia yuko chuo kikuu.hii level ambayo uko huru kuchagua cha kufanya katika maisha yako.namuunga mkono kwa kushiriki siasa ndani ya masomo
kwa mara ya kwanza naungana nawe, hawa watoto niwapumbavu kweli kweli. badala wakazane kusoma wamekazania siasa.
vikivunja sheria za chuo na kufukuzwa vinakuja kulalamika humu. nyie watoto ndo kwanza mnatafuta elimu, hiyo ccm ilikuwape na chadema kama wewe ni mwaka wa pili degree si ajabu ulikuwa hujazaliwa pia, utavikuta tu. mnakimbilia wapi? achaneni na akina lema wanawapoteza hao. wao wanamaisha yao, wewe ukifukuzwa/UKIFELI leo ndo imekula kwako.YAZINGATIENI HAYA.