CCM wavamia na kuvuruga uchaguzi wa DARUSO (UDSM)

Sina msongo wa mawazo

Na wala mm sio ccm wala chadema

Am simply a neurosurgeon at gothernberg

But mm ni mzalendo , naishi maisha mazuri kuliko wewe


Nanunua gari nalotaka , nyumba nayotaka , chakula nachotaka

Mwanangu anasoma shule yeyote marekani , nilipambna na siasa zenu chafu mpaka kufika hapa

Shwain , narudia punguza upumbavu kichwan , kuwa mzalendo

Fikiri kuhusu kizazi chako cha mbele


Nimemalza , reserving some of my words was a best respect for you kifinger
Asante sana Baba swalehe watu wapunguze upuuzi kichwan hasa wachumia tumbo wa kijani,
 
Back
Top Bottom