CCM watwangana kura za maoni Yombo Vituka

Lituye

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
1,864
Reaction score
5,697
Katika hali ya kustaajabisha Makonde Ngumi na kila aina ya ghasia zimerindima ktk mtaa wa Sigara uliopo kata ya Yombo Vituka wilaya ya Temeke baina ya wana CCM kwa Wana CCM wenyewe jana kutokana na upigaji kura za Maoni za mwenyekiti wa serikali za mtaa.

Kulikuwa na kuto aminiana baina ya Pande zinazo hasimiana ktk kugombea nafasi ya uenyekiti ktk uchaguzi huo na pia kutokuwa na imani na wasimamizi wa uchaguzi huo.

Ngumi hizo zililindima kwa muda mrefu baina ya wasimamizi wa uchaguzi huo na pande zinazo hasimiana ambapo ilibidi Polisi waingilie kati kuokoa jahazi na Kura hizo za maoni kuahirishwa.

Mtaa huu awali kwa miaka minane ulikuwa ukiongozwa na ccm kupitia kwa Ndugu Ngonyani ambaye mwaka huu ameamua kuto gombea nafasi hiyo.

Kama CCM wanatwangana wenyewe kwa wenyewe namna hii je watashindwa kumtwanga Risasi mwanachama wa chama kingine cha Siasa?

Halafu CCM hujifanya kuwasema wapinzani ni waloho wa Madaraka. Kwa tabia hizi ktk uchaguzi wa serikali za mitaa tuu, kweli CCM wapo tayari kuachia madaraka kwa Amani?

CCM ni janga la kitaifa kwetu wana wa nchi hii. Wapo tayari kuua kuteka na hata kupoteza raia ili tuu wadumu Madarakani.
CC. Mataga
Cc Meko
 
Habari kama hizi ziambatane na picha ili ziaminike, Aya mambo yasiyo na ushahidi Kigogo amewaingiza watu chaka na kwasasa hawana pa kuweka sura zao. Mambo ya kuzushazusha mwishoe mnaitwa Wadudu.
 
Hivi Meko ni nani? Au ni msamiati mpya kiswahili? Kuuliza siyo ujinga? Kukosea njia siyo kupotea njia! Hakika nahitaji kujivunza misamiati mipya kila siku. Naamini lugha inakuwa kila kuchao. Je msamiati mwingine mpya ni jiwe. Jiwe lipi? Jiwe la pembeni LA washi
 
Katika hali ya kustaajabisha Makonde Ngumi na kila aina ya ghasia zimerindima ktk mtaa wa Sigara uliopo kata ya Yombo Vituka wilaya ya Temeke baina ya wana CCM kwa Wana CCM wenyewe jana kutokana na upigaji kura za Maoni za mwenyekiti wa serikali za mtaa.

Kulikuwa na kuto aminiana baina ya Pande zinazo hasimiana ktk kugombea nafasi ya uenyekiti ktk uchaguzi huo na pia kutokuwa na imani na wasimamizi wa uchaguzi huo.

Ngumi hizo zililindima kwa muda mrefu baina ya wasimamizi wa uchaguzi huo na pande zinazo hasimiana ambapo ilibidi Polisi waingilie kati kuokoa jahazi na Kura hizo za maoni kuahirishwa.

Mtaa huu awali kwa miaka minane ulikuwa ukiongozwa na ccm kupitia kwa Ndugu Ngonyani ambaye mwaka huu ameamua kuto gombea nafasi hiyo.

Kama CCM wanatwangana wenyewe kwa wenyewe namna hii je watashindwa kumtwanga Risasi mwanachama wa chama kingine cha Siasa?

Halafu CCM hujifanya kuwasema wapinzani ni waloho wa Madaraka. Kwa tabia hizi ktk uchaguzi wa serikali za mitaa tuu, kweli CCM wapo tayari kuachia madaraka kwa Amani?

CCM ni janga la kitaifa kwetu wana wa nchi hii. Wapo tayari kuua kuteka na hata kupoteza raia ili tuu wadumu Madarakani.
CC. Mataga
Cc Meko
Hawa ndio wanaotuaminisha chama chao ni kikongwe na kikomavu!!!
 
Hahaha nao wamefunguliwa mashitaka, au hizi mechi za kirafiki?!
Vikombe vyagongana kabatini.Kweli madaraka matamu sana,hawaaminiani na hakuna kesi hata wakiuana.Wangekuwa wa vyama mbadala wangechezea kesi ya uchochezi au uhujumu uchumi.
 
Habari kama hizi ziambatane na picha ili ziaminike, Aya mambo yasiyo na ushahidi Kigogo amewaingiza watu chaka na kwasasa hawana pa kuweka sura zao. Mambo ya kuzushazusha mwishoe mnaitwa Wadudu.
Kwahyo ukiona picha ndo utakuwa unaelewa kuwa ktk ccm kuna chuki kati ya JPM na Memba, Mikamba, Nepi, Kinena na wengineo sio?
Nyambafu wew
 
Back
Top Bottom