ndio maana jk na ccm yake wamekausha hazina na deni trilioni 60 kwa sababu ya ujinga wao wa kuchezea pesa na kufuja rasilimali ukiona bei ya binadamu ni book 2 au 5 ujue tunarudishwa kwenye utumwayes, safi sana, watu wanaenda kujadili mstakabali wa maisha yao. Sio kama chadema inakodsha chopa kwa garama kwabwa anapanda mboye na nkya, silaa na josephine tuu,
yes, safi sana, watu wanaenda kujadili mstakabali wa maisha yao. Sio kama chadema inakodsha chopa kwa garama kwabwa anapanda mboye na nkya, silaa na josephine tuu,
Kwenye uzinduzi wa kampeni jimbo la Kalenga jana CCM walitumia mbinu ile ile ya kusomba makada wa kukodiwa kuja kujaza watu kwenye mkutano wao Ifunda, safari hii baada ya RPC kupiga marufuku malori waliamua kutumia mabus ya Upendo.
Hata vipaya na macruser yalitumika kufanya shantingi ya watu wa kujaza watu.
Inamaana hapo hawahutubii wapiga kura?
Yaani unataka kunambia hao hapo wote sio wanakijiji WA kalenga?