CCM wasalimu Iringa mjini

CCM wasalimu Iringa mjini

muntu marwa

Senior Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
155
Reaction score
26
Ni kutokana n jana kua jifanya wanajua kushusha bendera za chadema maeneo yote hasa mjini atakapopita mh.kikwete kuna mti uko crdb cdm walipandisha bendera ccm wakafanya doria usiku watoe wakati wanajiandaa makamanda wakatokea ilikua kazi mpaka ocd kuja na mbunge msigwa na mkurugenzi kutamka zitolewe zote n kuwekwa za taifa na ccm kulalamika mitaani kua cdm kumbe wamejipanga mana kumbe kila kwenye bendera ya cdm makamanda watatu wanalinda mnasemaje wadau kwa hilo
 
Hiyo ni ishara kwamba 2015 kila penye kura moja ya mi-CCM kuna kura TATU za MAKAMANDA wa CHADEMA.
 
Bendera ni kitambaa tu. Tena kwa baridi ya Iringa, nadhani vyama hivyo vingefanya la maana kama wakiwapa watu wa Kihesa ngome wajifunikie.
Waheshimiwa acheni ujinga. Kupamba barabara kwa bendera za kijani hakuwafanyi watu wa Iringa kumkataa Msigwa. Mwombeni amkaribishe JK mjini kwake.
Acheni kulinda bendera, hizo buku 7 mnazo wapa hao wenye njaa kulinda bendera huku wakijifanya Police wapeni watu pale mshindo wanywee ka-ulanzi waimbe mpaka JK ajue Iringa wanampenda japo bendera ni za cdm. Ni wazo langu lakini.
mwenyewe JK kasema, hili nalo linazungumzika tuuu
 
Siku za Msigwa Iringa zinahesabika,wananchi wamemchoka sana,Pengine utokee mgogoro tena CCM kama 2010.
 
mbunge wenu mtarajiwa ni mkimbizi cris lukosi hahaha
 
Last edited by a moderator:
Siku za Msigwa Iringa zinahesabika,wananchi wamemchoka sana,Pengine utokee mgogoro tena CCM kama 2010.

Hata kuku anasemaga hivyohivyo huku mwewe anaendelea kumanga viranga, Akimaliza vifaranga anakula na mama yao.
 
ni kutokana n jana kua jifanya wanajua kushusha bendera za chadema maeneo yote hasa mjini atakapopita mh.kikwete kuna mti uko crdb cdm walipandisha bendera ccm wakafanya doria usiku watoe wakati wanajiandaa makamanda wakatokea ilikua kazi mpaka ocd kuja na mbunge msigwa na mkurugenzi kutamka zitolewe zote n kuwekwa za taifa na ccm kulalamika mitaani kua cdm kumbe wamejipanga mana kumbe kila kwenye bendera ya cdm makamanda watatu wanalinda mnasemaje wadau kwa hilo

mkuu kumbuka huo ni mwanzo ngoja wakti wa kuhesabu kura zetu. Hatutakubali kuibiwa hata kura moja!
 
Ni kutokana n jana kua jifanya wanajua kushusha bendera za chadema maeneo yote hasa mjini atakapopita mh.kikwete kuna mti uko crdb cdm walipandisha bendera ccm wakafanya doria usiku watoe wakati wanajiandaa makamanda wakatokea ilikua kazi mpaka ocd kuja na mbunge msigwa na mkurugenzi kutamka zitolewe zote n kuwekwa za taifa na ccm kulalamika mitaani kua cdm kumbe wamejipanga mana kumbe kila kwenye bendera ya cdm makamanda watatu wanalinda mnasemaje wadau kwa hilo
JK mwenyewe anajua hilo. Ila maccm wanamuharibia. Yeye hana shida kabisa na cdm, anatumia elimu ya kijeshi sasa wapumbavu wanamuharibia. Chikawe, Wasira na wengineo wapumbavu kam hao.
 
binsfsi sina wasiwasi na chadema iringa.....,na kesho naenda kushuhudia mwenge wetu ila sipendezwi na viongozi wa ccm jinsi wanavyoutumia mwenge wa uhuru kama mbinu yao kujiimarisha kisiasa.
 
Siku za Msigwa Iringa zinahesabika,wananchi wamemchoka sana,Pengine utokee mgogoro tena CCM kama 2010.
...unaota ndoto ukiwa pangoni...na kipigo cha 2015 hamtakaa mkisahau,ngojeni tu...
 
Nipo hapa Iringa mbona kuna Bendera nyingi za CCM kuliko nilivyodhania? Acha uwongo wewe!!!!

Wadanganye wajinga wenzako
 
Ni kutokana n jana kua jifanya wanajua kushusha bendera za chadema maeneo yote hasa mjini atakapopita mh.kikwete kuna mti uko crdb cdm walipandisha bendera ccm wakafanya doria usiku watoe wakati wanajiandaa makamanda wakatokea ilikua kazi mpaka ocd kuja na mbunge msigwa na mkurugenzi kutamka zitolewe zote n kuwekwa za taifa na ccm kulalamika mitaani kua cdm kumbe wamejipanga mana kumbe kila kwenye bendera ya cdm makamanda watatu wanalinda mnasemaje wadau kwa hilo[/
HAPO SAFI KABISA CCM WAMEZOEA iringa huo haukubaliki hata kidogo kutukuza ccm iliyoshindwa katika jimbo hilo eti bendera za ccm zipepee na zile za CDM ZISHUSHWE. HAYO NI MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA
 
Nipo hapa Iringa mbona kuna Bendera nyingi za CCM kuliko nilivyodhania? Acha uwongo wewe!!!!

Wadanganye wajinga wenzako
Iringa ipi unayosema wewe Iringa mpaka Tunduma unahesabu bendera za CCM sasa huyo mwenyekiti wa CCM kwa kweli hajijui hawezi kujiuliz a kwa nini bendera zote mpya au ndio yale yale pitisha kombe mwanaharamu apite
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom