nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Teh teh, yaani chama kinashusha bendera za chama kingine? Huu ni ujinga na uzandiki mtupu. Hivi lini watanzania tutakuwa na uzalendo na uvumilivu wa kisiasa?
uko iringa ya pawaga hizo bendera z ccm umeziona ww pawagaNipo hapa Iringa mbona kuna Bendera nyingi za CCM kuliko nilivyodhania? Acha uwongo wewe!!!!
Wadanganye wajinga wenzako
Shelui iringa ipi unayosema wewe kuna mibendera ya ccm kwaiyo bendera y taifa n ccm usilopoke ovyo kama hujui jambo
Kumbe jibu unalo kwamba labda mgogoro utokee? Sasa mapanya yataacha kugombana wakati yanajijua ni majiziSiku za Msigwa Iringa zinahesabika,wananchi wamemchoka sana,Pengine utokee mgogoro tena CCM kama 2010.
Siku za Msigwa Iringa zinahesabika,wananchi wamemchoka sana,Pengine utokee mgogoro tena CCM kama 2010.